Digitaldreamer
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 121
- 43
L
Kwa muktadha huu tutakuwa tunajifunzaje, pande zote mbili zinakuwa ziwe zinaleta na maandiko , la sivyo inakuwa ni upotoshaji.
Leta uthibitisho, acha maneno mengi.Hili halihitaji hata elimu, kasome historia ya Uislamu Hadi mudi anapewa utume
Uislamu ni project ya wakatoliki
Ukate ukubali
Kwa muktadha huu tutakuwa tunajifunzaje, pande zote mbili zinakuwa ziwe zinaleta na maandiko , la sivyo inakuwa ni upotoshaji.