Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

L
Hili halihitaji hata elimu, kasome historia ya Uislamu Hadi mudi anapewa utume

Uislamu ni project ya wakatoliki

Ukate ukubali
Leta uthibitisho, acha maneno mengi.
Kwa muktadha huu tutakuwa tunajifunzaje, pande zote mbili zinakuwa ziwe zinaleta na maandiko , la sivyo inakuwa ni upotoshaji.
 
Watu wanataka ushahidi wa maandiko kuwa Uislamu ni zao la ukatoliki usikwepe!!!
Yaani unataka Quran ikwambie hivo ?😂😂

Muhammad hakuwa mjinga hivo

Kasome historia,mmefichwa vingi, Uislamu ni pure project ya wakatoliki ,lengo ilikuwa kuiteka Yerusalemu wakati wa Dola ya Byzantine
 
Kakuuliza kuhusu utofauti wa biblia ya kiprotestant na kiroma
Nilishamjibu huko juu ,ndio maana mnanishangaza ,nilishamjibu hakuna tofauti na nikasema hivo vitabu kwa wakatoliki ni vya historia tu
 
ZABURI UNAIAMINI ? KABLA SIJAANZA KUSHUSHA NONDO ,NIKISHUSHA NATAKA UKIRI KABISA NI MAANDIKO

SIO NAWEKA MAANDIKO ,UNAYAKATAA
Naona hutaki kuleta hayo maandiko yako maana sijaona humu watu wakiulizana kuhusu kuyaamini maandiko ili ndo wakuletee ushahidi
 
Yaani unataka Quran ikwambie hivo ?😂😂

Muhammad hakuwa mjinga hivo

Kasome historia,mmefichwa vingi, Uislamu ni pure project ya wakatoliki ,lengo ilikuwa kuiteka Yerusalemu wakati wa Dola ya Byzantine
Bila maandiko ni porojo tu!!!
 
Leta maandiko ndugu , tujifunze.
NIMELETA sana maandiko ,cha ajabu mtu anarudia kuuliza kitu hicho hicho hata mara 10

So aseme hapa ,je anaamini Zaburi

Kama haiamini aseme

Na najua anakwepa kusema haamini maana anajua nitampiga Pini

Na akisema anaiamini atapigwa Pini vile vile

Kwahiyo muache aruke ruke tu
 
Manabii hawajaishi wakati mmoja wameishi era tofautitofaut

Simple tu ,unaulizaje swali kama hilo
Ndio wameishi era tofauti tofauti , leta utofauti wa hivyo vitabu viwili , na ueleze kwa nini huo utofauti upo, na nini anayewajibika.
 
Ndio wameishi era tofauti tofauti , leta utofauti wa hivyo vitabu viwili , na ueleze kwa nini huo utofauti upo, na nini anayewajibika.
Utofauti ni mmoja tu ,wakatoliki wameweka vitabu vya historia ya mwaka 500B.C

Waprotestanti hawajaviweka sababu havihusihani na maandiko mengine wala kuendana

Yesu na mitume hawakuwahi kuvinukuu

Mwisho catholic ni state ,ni zaidi ya dini, hawategemei muongozo wa maandiko tu,wao wanategemea mapokeo ,ndio hao hao waanzilishi wa Uislamu
 
NIMELETA sana maandiko ,cha ajabu mtu anarudia kuuliza kitu hicho hicho hata mara 10

So aseme hapa ,je anaamini Zaburi

Kama haiamini aseme

Na najua anakwepa kusema haamini maana anajua nitampiga Pini

Na akisema anaiamini atapigwa Pini vile vile

Kwahiyo muache aruke ruke tu
Siiamini
 
Kwa mfano na mimi nikikuambia ukristo ni zao la dini ya uyahudi utakuja kujua baadae sana
Vipi hapo?
Kwani uongo ,Ukristo ndio ni zao la Uyahudi kwani nani hajui

Hata Yesu na manabii ,mitume walikuwa wayahudi

Yesu alisema ,WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
 
Utofauti ni mmoja tu ,wakatoliki wameweka vitabu vya historia ya mwaka 500B.C

Waprotestanti hawajaviweka sababu havihusihani na maandiko mengine wala kuendana

Yesu na mitume hawakuwahi kuvinukuu

Mwisho catholic ni state ,ni zaidi ya dini, hawategemei muongozo wa maandiko tu,wao wanategemea mapokeo ,ndio hao hao waanzilishi wa Uislamu
Kwani yesu alishawahi kunukuu kutoka matendo ya mitume mbona hiko kitabu kipo kwenye biblia yenu ikiwa hamtaki vitabu visivyonukuliwa na yesu
 
Kwani yesu alishawahi kunukuu kutoka matendo ya mitume mbona hiko kitabu kipo kwenye biblia yenu ikiwa hamtaki vitabu visivyonukuliwa na yesu
Matendo ya mitume ni kitabu cha matendo ya mitume baada ya Yesu, na hao mitume wamemuelezea Yesu ,na wameishi nae.

Unaulizaje maswali ya kijinga hivi
 
Kwani uongo ,Ukristo ndio ni zao la Uyahudi kwani nani hajui

Hata Yesu na manabii ,mitume walikuwa wayahudi

Yesu alisema ,WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
Kwa hiyo wewe unakiri kuwa ukristo ulibuniwa kutoka dini ya uyahudi?
 
Back
Top Bottom