Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Well saidHistoria inasema kaabah ilijengwa na nabii Ibrahim baada ya hapo , waraab wakaibadilisha kuwa sehemu ya ibada ya miungu mbalimbali. Kwa hiyo kama tunavyojua mitume ilikuwa inatumwa kwa vizazi tofauti tofauti , kwa mantiki hiyo nabii aliyefuata alikuja na mafunzo mengine, na kuondoa sanamu zote, zilizokuwa zinazozunguka kaabah.
Historia inajieleza vizuri huo upagani ulikuja baada ya nabii Ibrahim, mtume aliyekuja aliupinga huo upagani na kuvunja yale masanamu yote .
Ni wapi hujaelewa ndugu, na historian yenyewe unababaika , hizi sio zama za kumdanganya mtu , kwa hiyo huu ni muendelezo wa upotoshaji wako.
Hizi ndio porojo zisizo na Uthibitisho wa maandikoMimi nakupa real histori na wajenzi ,sio Porojo na propaganda za mudi
Hapa kuna orodha ya misikiti mitano ya kwanza kujengwa duniani kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria, ikijumuisha mwaka wa ujenzi, aliyeujenga, na mahali ilipo:
1. Msikiti wa Quba
Mwaka: 622 CE
Aliyeujenga: Mtume Muhammad na Masahaba
Mahali: Madina, Saudi Arabia
Ushahidi wa kihistoria:
Inatajwa katika maandiko ya Kiislamu kuwa msikiti wa kwanza kabisa kujengwa baada ya Hijra (uhamiaji wa Muhammad kutoka Makka kwenda Madina).
Uchunguzi wa kihistoria unaonyesha kuwa ulikuwa kituo cha kwanza cha ibada cha Waislamu wakati wa uanzishwaji wa dola ya Kiislamu Madina.
2. Msikiti wa Mtume (Masjid an-Nabawi)
Mwaka: 622 CE
Aliyeujenga: Mtume Muhammad na Masahaba
Mahali: Madina, Saudi Arabia
Ushahidi wa kihistoria:
Ulijengwa mara baada ya Muhammad kuhamia Madina, ukapanuliwa na viongozi wa Kiislamu waliokuja baadaye.
Nyumba ya Muhammad ilijumuishwa ndani ya msikiti huu, na baadaye likawa eneo la kaburi lake.
Historia ya usanifu wake imebadilika kwa karne nyingi, na umebaki kuwa kituo muhimu cha ibada na siasa za Kiislamu.
3. Msikiti wa Al-Haram
Mwaka: 638 CE
Aliyeujenga: Waislamu wa mwanzo chini ya uongozi wa Khalifa Umar bin Khattab
Mahali: Makka, Saudi Arabia
Ushahidi wa kihistoria:
Kihistoria, Makka ilikuwa kituo cha kidini hata kabla ya Uislamu, Kaaba ikiwa katikati ya ibada za Waarabu wa Kipagani.
Baada ya Muhammad kushinda Makka mwaka 630 CE, eneo la Kaaba likafanywa kuwa sehemu ya msikiti, ambao baadaye ulipanuliwa na watawala wa Kiislamu kwa karne nyingi.
4. Msikiti wa Al-Aqsa
Mwaka: Umefanyiwa ujenzi mara kadhaa, lakini ujenzi wa sasa ulianza takriban 705 CE
Aliyeujenga: Khalifa wa Kiumayyad, Abd al-Malik na mwanawe Al-Walid I
Mahali: Jerusalem, Palestina
Ushahidi wa kihistoria:
Upo ndani ya eneo la Haram al-Sharif (Mount Temple), sehemu ambayo ilikuwa na historia ndefu ya kidini hata kabla ya Uislamu.
Historia inaonyesha kuwa Waislamu walipochukua Jerusalem mwaka 637 CE chini ya Umar bin Khattab, aliamuru ujenzi wa sehemu ya ibada hapo, lakini jengo la sasa lilianzishwa na Wauamayyad karne ya 8 CE.
Msikiti huu umeendelea kuwa sehemu muhimu ya historia ya kidini na kisiasa katika Mashariki ya Kati.
5. Msikiti wa Kufa (Masjid al-Kufa)
Mwaka: 637 CE
Aliyeujenga: Waislamu wa mwanzo chini ya Sa’d ibn Abi Waqqas
Mahali: Kufa, Iraq
Ushahidi wa kihistoria:
Umejengwa katika mji wa Kufa, moja ya miji ya kwanza ya Kiislamu iliyoanzishwa nje ya Arabia.
Msikiti huu ulikuwa moja ya vituo muhimu vya siasa na elimu ya Kiislamu, na unahusiana na Khalifa Ali ibn Abi Talib.
Orodha hii imepangwa kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria wa ujenzi wa misikiti na upanuzi wake, badala ya masimulizi ya kidini pekee.
😂😂😂umeshajitokeza acha kujifichaficha sasaHakuna sehemu niliyojinasibisha , na upande fulani . Na nikasema niko hapa ninajifunza, ndio maana ninauliza maswali tuuh , nakuwa natafuta na maandiko , lakini kutokana na uoga wako unakuwa unajilinda kuliko kujibu hoja.
Mbona hunijibu kwa nini mnatumia vitabu hivyo kumuelezea yesu?Yesu anaelezewa kwa vitabu vilivyopo na hata ambayo alivikuta na alinukuu
Quran ni ya juzi na hatuiamini maana imejaa uongo mwingi sana
Quran sio maandiko ,Quran na Hadith ni porojo ,ndio maana History imekuwa ikiitoa knockout QuranHizi ndio porojo zisizo na Uthibitisho wa maandiko
Nikujibu nini ? Unauliza vitabu ambayo vimeandikwa na wanafunzi na mitume waliomuona Yesu, ulitaka tuamini Quran na hadithi ambazo hazimjui Yesu? Hebu uwe unauliza maswali ya msingi basiMbona hunijibu kwa nini mnatumia vitabu hivyo kumuelezea yesu?
Kuna neno linasema akae nanyi Milele? Mtume wenu mpaka Leo hakuna anaweza kusema alienda wapi kama ni kuzimu au wapi hamjui. Msaidizi Yesu alimsemelea ni Roho wa Mungu, binadamu katika asili yake ya Dhambi Mungu hawezi kukaa nae lakini Kwa kulipiwa Dhambi zake tumepata neema kuweza kua karibu nae kupitia roho wakeYohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.”
Pia historia ipo kabla ya bibliaQuran sio maandiko ,Quran na Hadith ni porojo ,ndio maana History imekuwa ikiitoa knockout Quran
Historia ipo kabla ya Qurani na Hadith,hivo hakuna atakayeiamini hiyo Quran na ujinga wake
Na yule anayeamini biblia ikimuelezea Ibrahimu ni naniNdio maana ni mjinga Pekee ataamini Quran ikumuelezea Yesu maana imekuja juzi
Na inaendana na bibliaPia historia ipo kabla ya biblia
Historia haiendani na bibliaNa inaendana na biblia
Quran sasa uzushi mtupu
Kejeli na porojo kijana, kubali wewe ni mweupe kichwani.Quran sio maandiko ,Quran na Hadith ni porojo ,ndio maana History imekuwa ikiitoa knockout Quran
Historia ipo kabla ya Qurani na Hadith,hivo hakuna atakayeiamini hiyo Quran na ujinga wake
Kamuulize Isack Newton aliyeichambua biblia hasa kitabu cha DanielHistoria haiendani na biblia
Huna hoja ,ndio maana unaniletea utapeli wa Quran na hadithi eti ndio ithibitishe historia ya zaidi ya miaka 2000Kejeli na porojo kijana, kubali wewe ni mweupe kichwani.
Bila kukejeli hauna hoja mtu hawezi kujifunza kutoka kwako, mara yangu ya mwanzo kuandika nikasema lengo ni kujifunza, ili niweze kuchagua njia sahihi , katika imani. Lakini wewe umeshikilia hilo hilo tuuh.
Kumbuka hizi sio zama , za kumdanganya mtu , nina biblia wakati huo nina softcopy ya quran, kwa hiyo ukishaweka andiko , ndo kujifunza kwenyewe , sasa wewe hoja zako ni mipasho
Mitupu , sio kila kitu unaweza kujibu , mengine unanyamaza wenye ujuzi wanakusaidia kujibu
Hapa nguvu ya bando lako inakuweka hapaSasa ulikuja kufanya nini kama unaona ni kupoteza muda