HII NDIO BIBLIA ,QURAN HUWEZI KUKUTA KITU KAMA HIKIHistoria haiendani na biblia
Mudi hajawahi kutumwa na Mungu wa wayahudiIkiwa Muhammad alitumwa kwa mataifa yote, kwa nini manabii wa awali walipelekwa hasa kwa Waisraeli?
VITU KAMA HIVI HUWEZI KUVIPATA KWENYE QURANI ,LAZIMA HISTORIA IKATAE MAANA QURAN IMEJAA UONGOHistoria haiendani na biblia
QURAN HUWEZI KUKUTANA NA VITU EXACTLY KAMA HIVI ,SABABU QURAN NI PROJECT YA ROMAN CATHOLICHistoria haiendani na biblia
Je wewe unaamini biblia??Huna hoja ,ndio maana unaniletea utapeli wa Quran na hadithi eti ndio ithibitishe historia ya zaidi ya miaka 2000
Huo upuuzi ni mkubwa
HUNA HOJA MZEE, NISIIAMINI BIBLIA NIAMINI NINI TENA?Je wewe unaamini biblia??
Na kama unaamini, ni sababu ipi inayokufanya uamini uwepo biblia?
Je ulikuwepo nyakati za yesu??
Je dini ni nini??
Na imani ni nini?
Huyo Mungu unayemuamini ushawahi kumuona?
Jibu hayo maswali uache mipasho, uwezo wako wa kujadiliana bado sana , na chakusikitisha badala ya kujibu hoja , unakimbilia kujilinda, kukejeli imani za wengine.
Kwani wewe hujui kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu??
Toa udhibitisho kuwa quran ni uongo, je mtu akikuambia biblia unayoitumia wewe na mimi ni ya uongo utamjibuje??QURAN HUWEZI KUKUTANA NA VITU EXACTLY KAMA HIVI ,SABABU QURAN NI PROJECT YA ROMAN CATHOLIC
Andiko: Isaya 13:19-22: "Na Babiloni, utukufu wa falme, mji wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora… Haiwezi kuishi tena, wala watu wa Babeli hawawezi kukalia tena."
Utimilifu: Isaya alitabiri kuanguka kwa Babeli, mji mkuu wa Ufalme wa Babeli. Unabii huu ulitimia mwaka 539 KK, wakati Wajemi walipoiteka Babeli na kuiangamiza. Mfalme Koreshi wa Uajemi aliingilia kati na Babeli ikawa ni kivuli cha kilichokuwa mji wa nguvu.
Ushahidi wa Historia: Babeli ilitekwa na Wajemi chini ya Mfalme Koreshi (Cyrus the Great), na mji wa Babeli uliachwa ukiwa na uharibifu mkubwa. Taarifa hii inapatikana katika maandiko ya kihistoria kama vile Cyrus Cylinder na Historia ya Herodotus.
NISIPOIAMINI BIBLIA YENYE KWELI KAMA HIZI NITAAMINI NINI TENA?Je wewe unaamini biblia??
Na kama unaamini, ni sababu ipi inayokufanya uamini uwepo biblia?
Je ulikuwepo nyakati za yesu??
Je dini ni nini??
Na imani ni nini?
Huyo Mungu unayemuamini ushawahi kumuona?
Jibu hayo maswali uache mipasho, uwezo wako wa kujadiliana bado sana , na chakusikitisha badala ya kujibu hoja , unakimbilia kujilinda, kukejeli imani za wengine.
Kwani wewe hujui kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu??
Umri wa Dunia – Mwanzo 1:1-31Kamuulize Isack Newton aliyeichambua biblia hasa kitabu cha Daniel
Kimeelezea historia ya tawala zote kuu zitakazoteka ulimwenguni kwa usahihi ,NAKULETEA ushahidi
For sureHapa nguvu ya bando lako inakuweka hapa
Leta uthibitisho huo unaosema acha maneno mengi.UNAANZAJE KUNISHAWISHI NISIIAMINI BIBLIA ,NIAMINI UONGO WA QURANI?
ONA MFANO HUU👇👇
Unabii wa Mika kuhusu kuanguka kwa Samaria na Yerusalemu
Andiko: Mika 3:12: "Kwa sababu ya ninyi, mji wa Sayuni utalima kama shamba, na Yerusalemu utakuwa kama makao ya mnyama wa porini."
Utimilifu: Mika alitabiri kuanguka kwa Samaria (mji mkuu wa Ufalme wa Israel) na Yerusalemu. Samaria ilianguka mnamo mwaka wa 722 KK wakati Waashuru walipovamia Ufalme wa Israel, na Yerusalemu ilihusishwa na uharibifu uliofuata wakati Wababiloni waliposhambulia.
Ushahidi wa Historia: Samaria ilitekwa na Waashuru mwaka wa 722 KK na Waisraeli walichukuliwa mateka. Yerusalemu ilikufa mwaka wa 586 KK kama ilivyotabiriwa na Mika, na Wababiloni waliteketeza mji.
Zungumzia na jinsi inavyokinzanaVITU KAMA HIVI HUWEZI KUVIPATA KWENYE QURANI ,LAZIMA HISTORIA IKATAE MAANA QURAN IMEJAA UONGO
Andiko la Yeremia 25:8-11:
"Kwa hiyo, Bwana wa majeshi asema hivi: Kwa sababu ninyi hamkusikiliza maneno yangu, tazama, nitawaletea mataifa ya kaskazini, na Bwana, na mfalme wa Babeli, mtawala wangu, nao watakupiga ninyi na miji hii yote, na kutafanya kuwa mawe ya kivumbi. Nanyi mtakuwa mateka kwa mfalme wa Babeli kwa muda wa miaka sabini."
Utimilifu:
Unabii huu ulitimia wakati Wababiloni waliposhambulia Yerusalemu mwaka wa 586 KK, na mji wa Yerusalemu uliteketezwa pamoja na hekalu lake. Waisraeli walichukuliwa mateka kwenda Babeli kama alivyotabiri Yeremia, na walikaa huko kwa miaka sabini kabla ya kurejea kutoka katika utumwa wa Babeli. Huu ni mfano mwingine wa jinsi Mungu alivyotekeleza hukumu yake dhidi ya dhambi za watu wake.
Mbona huthibitishi hili dai lakoQURAN HUWEZI KUKUTANA NA VITU EXACTLY KAMA HIVI ,SABABU QURAN NI PROJECT YA ROMAN CATHOLIC
NAONA HUJUI HATA QURAN WALIOIANDIKA NI WALEVIToa
Toa udhibitisho kuwa quran ni uongo, je mtu akikuambia biblia unayoitumia wewe na mimi ni ya uongo utamjibuje??
Bila mipasho na nadharia umebakia na ujuaji tu
Hili ndio imani lako , kwa kuwa umeshindwa kutoa uthibitisho, kwa mantiki hiyo hakuna atakaye kulazimisha uamini kuwa hakuna Mungu.NISIPOIAMINI BIBLIA YENYE KWELI KAMA HIZI NITAAMINI NINI TENA?
HEBU ONA VITU KAMA HIVI HUWEZI KUVIPATA KWENYE QURANI
Unabii wa Luka kuhusu Uharibifu wa Yerusalemu
Andiko: Luka 19:41-44: "Alipokaribia, akaona mji, akalilia, akisema, 'Laiti ungeshawahi kufahamu, hata wewe, siku yako ya kuokolewa! Lakini sasa imefichwa machoni pako. Maana watajipatia maadui, watakujengea kuta, na kukuzunguka, na kukuangamiza…'"
Utimilifu: Unabii huu unatabiri uharibifu wa Yerusalemu, na ni moja ya unabi ulio wazi kabisa uliofanyika mwaka wa 70 BK.
Ushahidi wa Historia: Katika mwaka wa 70 BK, Wayahudi walitekewa na Wakaldayo wa Kirumi, na mji wa Yerusalemu uliteketezwa kabisa, na Hekalu la Sulemani liliharibiwa. Hii ni matukio yaliyotokea kama ilivyotabiriwa na Yesu katika Luka 19.
Bado hayo ni maneno yako maana hujatoa ushahidi wa maandikoNAONA HUJUI HATA QURAN WALIOIANDIKA NI WALEVI
SIO MANENO YANGU
Ukweli ukoje kuhusu kitabu hiki.
Kitabu cha maisha ya Nabii muhammad. Kinatuelezea kuhusu waandishi wa hiyo Qur'an. Uk.8
Mtu wa awali aliyejifundisha kusoma na kuandika katika mji wa maka alikuwa Bwana Harb bin Ummayya_ babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa yamen na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa maka. Wakati Mtume alipopata Utme walikuwako watu 6 tu katika makka waliokuwa akijua kuandika. 4 katika hao waliingia katika Uislam, wakawa ndio waandikaji "Wahy" (Aya za Qur'an ). Watu hao alikuwa ni
Sayyidna Abubakr.
Sayyidna umar.
Sayyidna Uthman na
sayyidna Ali.
Hawa jamaa ndio maswahaba wa muhammad na nio walio andika hiyo qur'an
Lakini wandishi hawa walikuwa na hali gani?
Maidah 5:93
fafanuzi mwandishi anatupasha habari
93. Aya hizi za kukataza ulevi kwa tashidd hii zimeteremka mwaka wa sita wa Al-jra baada ya kuwa masaba wengi wamekufa na hali ya kuwa wakilewa.
Huyu jamaa naye alipoona kuna kasoro za kilevi akaisahihisha.
Na Shekh Abdullah saleh akaipitia tena tafsiri yake yote nzima kabla ya kutabiishwa chapa ya pili akaongeza ya akasafisha yakusafisha kwa mwisho wa jitihada yake ili iwe na nafuu kubwa na kusahihika kabisa. Lakini kinacho kinachofanywa na Mwanaadam hata kikitengenezwa vipi muhali kusalimika na makosa.
Kumbe quran inamakosa meng
HALAFU LEO MTU KASHIBA BIRIANI ANANIAMBIA NIIAMINI QURANI😂😂Mbona huthibitishi hili dai lako
Sina msaada na weweBado hayo ni maneno yako maana hujatoa ushahidi wa maandiko
Umeona jinsi Biblia inavyopingana na historia?Sina msaada na wewe