gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Injili,kwa mujibu wa Quran ni kitabu alichoshushiwa nabii issa bin maryamAkijibu hili swali narudi Leo kuwa muislamu na nitakuwa Sunni ,kundi la Wahabi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Injili,kwa mujibu wa Quran ni kitabu alichoshushiwa nabii issa bin maryamAkijibu hili swali narudi Leo kuwa muislamu na nitakuwa Sunni ,kundi la Wahabi
Usilete maneno yako Lete andiko LA biblia YOHANA 20:11 mpaka 17 hapaTafsiri ya Yohana 20:11 na Marko 16:12
Kwenye Yohana 20:11, Maria Magdalene alimwona Yesu baada ya kufufuka, lakini hakuweza kumtambua mara moja, jambo linaloweza kueleweka kwa sababu ya hali ya Yesu baada ya kufufuka.
Yesu ni Mungu 100%, kama inavyoonyeshwa katika Yohana 10:30, ambapo anasema, "Mimi na Baba tu moja." Hii inaonyesha umoja wa Yesu na Baba, na kwamba Yesu ni Mungu. Ingawa alikuwa na hali ya kibinadamu, alijua kuwa yeye ni Mungu na alikuwa na mamlaka juu ya kila kitu.Ehhh mkuu Kwa hiyo yesu sio mungu tena kumbe kuna mungu anaepanga mda au wakati wa yesu kukamatwa?
Na Kwa hayo maandiko yote sijaona andiko yesu kakamatwa hapo Bali umeleta maandiko ya wakamsulubisha na ikiwa huyo si yesu
Hiyo injili ipo wapi ,tuanze hapoInjili,kwa mujibu wa Quran ni kitabu alichoshushiwa nabii issa bin maryam
Kipi kilitangulia kati ya Quran na Biblia?Hiyo Biblia imetengenezwa kutoka kwenye scriptures za Zabur,Taurat na Injil.Ikaongezewa maandiko mengine mapya na pia kuondoa baadhi ya maandiko ili kukidhi maslahi ya hao watungaji wa hiyo biblia.
Sasa kwa kuwa biblia imetokana na vitabu vya kweli,kuna baadhi ya maandishi hayajapotoshwa na baadhi yake ni hayo.
Hiyo Biblia imetengenezwa kutoka kwenye scriptures za Zabur,Taurat na Injil.Ikaongezewa maandiko mengine mapya na pia kuondoa baadhi ya maandiko ili kukidhi maslahi ya hao watungaji wa hiyo biblia.
Sasa kwa kuwa biblia imetokana na vitabu vya kweli,kuna baadhi ya maandishi hayajapotoshwa na baadhi yake ni hayo.
Kwa mantiki hiyo,habari za Mariam wa kwenye Biblia na Yesu baadhi yake ni kweli na baadhi yake si sahihi zimepotoshwa kwa ajili ya maslahi binafsi ya wahusika
WEWE SINDIO ULILETA HADI 11 TU, NIMEKUJIBU UNASEMA NILETE TENA HADI 17 ,HAYA NAKETA HADI 17Usilet
Usilete maneno yako Lete andiko LA biblia YOHANA 20:11 mpaka 17 hapa
Kimeshushwa na Ungo,Ndege au??Kitabu alichoshushiwa yesu, injili,hakipo physically
Akijibu nakuwa muislamu wa sunni ,kikundi cha WahabiKipi kilitangulia kati ya Quran na Biblia?
Hizi maana umezitoa wapi na ikiwa yesu alizungumza kitu kinaeleweka hapo katika izo Aya , ACHA KUUNGA UNGA MANENO, MBONA QUR ANI YETU SISI IPO SAWA HAINA KUUNGA MANENO KABISA.NI UJINGA WAKO TU WAKUTOELEWA MAANDIKO ,
MIMI NITANUKUU HIZO AYA ...
Katika Yohana 8:21, Yesu anasema:
"Kisha akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta, nanyi mtakufa katika dhambi zenu; huko niendako ninyi hamwezi kuja."
Hapa Yesu alikuwa anawaambia Wayahudi kuwa ikiwa hawatamwamini, watakufa katika dhambi zao na hawataweza kufika mahali alipoelekea, yaani, kwa Baba mbinguni. Hii inamaanisha kuwa msamaha wa dhambi unapatikana tu kwa kumwamini Yesu. Kwa wale waliomkataa, hakuna njia ya wokovu.,Sasa wewe endelea kumuamoni Tapeli Muhammad ,
Msamaha wa dhambi umetolewa kwa watu wote, ni lazima mtu aukubali kwa imani ili kuokolewa.
UKANUKUU NA
Ezekieli 18:20 INASEMA
"Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatabeba uovu wa baba yake, wala baba hatabeba uovu wa mwanawe; haki yake mwenye haki itakuwa juu yake mwenyewe, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake mwenyewe."
Maana ya aya hii ni kwamba kila mtu atawajibika kwa matendo yake mwenyewe.
Hii inapingana na dhana kwamba mtu anaweza kubeba dhambi za mwingine au kwamba msamaha wa mtu mmoja unamwokoa mwingine bila toba binafsi. Kila mtu anapaswa kutubu na kuishi maisha ya haki ili apate wokovu, na si kwa sababu ya msamaha wa mtu mwingine,
MSAMAHA WA DHAMBI UNAPATIKANA TU KWA KUMUAMINI YESU KRISTO ALIKUFA NA KUFUFUKA
Yohana 8:21 inasisitiza kwamba msamaha hauwezi kupatikana bila kumwamini Yesu, wakati Ezekieli 18:20 inasisitiza kuwa kila mtu anabeba mzigo wa dhambi zake mwenyewe. Kwa hivyo, msamaha upo kwa wale wanaomwamini Yesu, lakini wale wanaomkataa watabaki katika dhambi zao na kuadhibiwa kwa matendo yao binafsi.
SWALI JINGINE
Biblia si kitabu kilichoorozwesha katika vitabu walivyoshushiwa manabii na yesu hakusushiwa biblia au una andiko linasema yesu kashushiwa biblia.Kipi kilitangulia kati ya Quran na Biblia?
UTAELEWA TU ,AU UTATUMIKA KAMA UBAO KUFUBDISHIA WENGINEHizi maana umezitoa wapi na ikiwa yesu alizungumza kitu kinaeleweka hapo katika izo Aya , ACHA KUUNGA UNGA MANENO, MBONA QUR ANI YETU SISI IPO SAWA HAINA KUUNGA MANENO KABISA.
Biblia ipo Kwa kiswahili na kila kitu kinaeleweka kuwa kila mtu atabeba zambi zake wewe unasema wasomwamini ilo neno la wasomwamini lipo wapi hapo katika biblia
Na wayahudi wenyewe so wale,wale ni wezi weupe wa RASILIMALI za mashariki ya kati.Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu ni ndugu wa waisrael wala walitokana na Ishmael ni hisia tu na mbinu na waarabu kujinasubisha na wayahudi
Yesu hakufa na pia hakutaka kufa ndio maana aliomba msaada Kwa mungu wake na alilalamika sana .Kwa kudhihirisha kuwa yesu hakutaka kufa alilalamika njoo na waebrania 5:7Yesu ni Mungu 100%, kama inavyoonyeshwa katika Yohana 10:30, ambapo anasema, "Mimi na Baba tu moja." Hii inaonyesha umoja wa Yesu na Baba, na kwamba Yesu ni Mungu. Ingawa alikuwa na hali ya kibinadamu, alijua kuwa yeye ni Mungu na alikuwa na mamlaka juu ya kila kitu.
Alijua wakati wake wa kuteseka na kufa, lakini alikubali kutii mapenzi ya Baba yake.
Yesu alikufa kwa hiari yake kama dhabihu kwa ajili ya wanadamu, na alitimiza mapenzi ya Mungu kwa kuwa Mungu mwenyewe alikufa kwa ajili ya dhambi za dunia.
Rudi ktk 8:21 YOHANA useme wapi walisema WASOMWAMINIUTAELEWA TU ,AU UTATUMIKA KAMA UBAO KUFUBDISHIA WENGINE
Yohana 3:16,
, "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."
Hapa tunapata wito wa kumwamini Yesu Kristo ili kupata uzima wa milele.
Tena, Waefeso 2:8-9 inasema, "Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; wala si kwa nguvu zenu wenyewe; ni kipawa cha Mungu; si kwa matendo, mtu asije akajivuna." Hii inafundisha kuwa wokovu ni zawadi kutoka kwa Mungu na unapatikana kwa imani katika Yesu Kristo.
Yesu alikuja ili atuokoe kutoka kwa dhambi zetu, na wokovu huu unapatikana kwa imani na kumfuata.
Katika Mathayo 1:21, inasema, "Atazaa mtoto, nawe utamwita jina lake Yesu, maana ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao."
Hivyo, wokovu haupatikani kwa matendo yetu, bali kwa imani katika Yesu Kristo, ambaye alikufa kwa ajili ya dhambi za dunia.
SWALI JINGINE
NILISEMA USISOME BIBLIA KIMSIKITISIKITI HUSIKIIYesu hakufa na pia hakutaka kufa ndio maana aliomba msaada Kwa mungu wake na alilalamika sana .Kwa kudhihirisha kuwa yesu hakutaka kufa alilalamika njoo na waebrania 5:7
Mathayo 26:37
Hii YOHANA inaeleza kuwa yesu hakusulubiwa kabisa na hakufa na Ile maiti haikuwa yeye yesu twende pamoja.WEWE SINDIO ULILETA HADI 11 TU, NIMEKUJIBU UNASEMA NILETE TENA HADI 17 ,HAYA NAKETA HADI 17
Baada ya kuona malaika wawili mmoja alisimama kichwani na mwingine miguuni kwenye Ile maiti hapa alishagundua kuwa iyo maiti SIO YESUHapa ni Yohana 20:11-17 kwa Kiswahili:
11 Lakini Maria alisimama karibu na kaburi, akilia; na alipokuwa akilia, alitazama ndani ya kaburi,
12 akaona malaika wawili wamekaa, mavazi yao meupe, mmoja akiwa kichwa cha kaburi, na mwingine akiwa miguuni, mahali ambapo mwili wa Yesu ulipokuwa umelazwa.
Kwa kithibitisha Hilo baada ya kuuliza akajibu yaani kiswahili safi hiki tunaelewa wote "Nimechukuliwa Bwana wangu, wala sijui waliko".13 Wakamuambia, "Mama, unalia nini?" Akawaambia, "Nimechukuliwa Bwana wangu, wala sijui waliko."
Baada ya kusema alisimama na kugeuka sasa aende kumtafuta YESU ALIPO KWA MAANA ILE MAITI HAKUWA YESU14 Aliposema hayo, aligeuka akamwona Yesu akiwa amesimama, lakini hakujua kwamba ni Yesu.
Hapa sasa baada ya kugeuka akamuona YESU15 Yesu akamwambia, "Mama, unalia nini? Unamtafuta nani?" Akidhani kuwa ni mtaalamu wa bustani, akamwambia, "Bwana, ikiwa umemchukua, uniambie umeweka wapi, nami nitamchukua."
Sasa Sina haja ya kuongea tena ikiwa kila kitu Kiko wazi kuwa yesu hakufa.16 Yesu akamwambia, "Maria!" Alipogeuka, akasema kwa Kiebrania, "Rabbuni!" (yaani, Mwalimu).
17 Yesu akamwambia, "Usinisikie, kwa maana sijapanda kwa Baba; lakini enenda kwa ndugu zangu, uwaambie, ‘Ninapanda kwa Baba yangu na Baba yenu, na Mungu wangu na Mungu wenu.’"
HAYA SWALI LAKO NI LIPI HAPO
KWAHIYO YOHANA 3:16 HUITAKI TENA🤣🤣Rudi ktk 8:21 YOHANA useme wapi walisema WASOMWAMINI
Hii inamaan yesu hakutaka kufa kabisa ndipo akaomba Dua Kwa mungu wake na Kwa sababu alikuwa MCHAMUNGU alikubaliwa Dua yake.Waebrania 5:7-9
"Katika siku zake za mwili wake alileta maombi na dua kwa machozi makuu na maombolezo kwa yule ambaye alikuwa na uwezo wa kumwokoa na kifo, na alisikilizwa kwa sababu ya kumcha Mungu. Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza kutii kwa yale aliyoyapata. Na alikamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii."
Sibagui , siwezi kwenda andiko lingine ikiwa nilichouliza hujajibu Bali unajichekesha na kupindisha maanaKWAHIYO YOHANA 3:16 HUITAKI TENA🤣🤣
HEBU ELEWEKA KWANZA UNADOKOA MAANDIKO ?
MIMI SIPO HAPA KUBAGUA ANDIKO