Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Nafahamu tu:
(a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa;

(b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa;

(c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya.

SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
 
Kada zote za watumishi hawajitambui mkuu,wanalialia tu saivi wameongezewa elfu 20🤣🤣
 
Unashawishi watumishi wafanye mgomo na kuleta uasi?
 
Nani kakwambia ujenzi wa barabara umekamilika nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…