britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika?
Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni?
Mama usiingie mtego huu hata kidogo
Najua zitapikwa reports nyingi tu za kuonesha mafanikio, basi yawe ya Ukweli
Pia pitia huku
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni?
Mama usiingie mtego huu hata kidogo
Najua zitapikwa reports nyingi tu za kuonesha mafanikio, basi yawe ya Ukweli
Pia pitia huku
Kuelekea deadline tuliyojiwekea kwamba kufikia 2025 Tanzania iwe ya uchumi wa kati, matokeo na mwenendo vinaridhisha?
Tanzania tumejiwekea deadline kwamba Mwaka 2025 tunatakiwa kuwa tumefika uchumi wa kati, na Mpango mkakati ulikuwa ni kumleta kiongozi ambaye ataweza kuyasimamia hayo Tuwe na viwanda vya kutosha, Mauzo ya nje yaongezeke ili tupate Hela za kigeni na ipandishe thamani Hela yetu, maana wanaotaka...
Nakataa Tanzania haiwezi kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati ifikapo 2025
Habari zenu wakuu , Nchi yetu imekuwa ni ya mipango ya muda mrefu bila ukamilishaji kwa muda , na kupanga bila kuangalia mbele, Ninaangalia nchi nyingi duniani huwa na mipango endelevu amnbayo uongozi urithishana na kama ajenda ya taifa, nina mifano ya mataifa yafuatayo ambayo miaka ya nyuma...