Je Israel itaishambulia Iran?

Maneno ya Taarabu kama hayo hata kwenye Kanga yapo tu. Lakini ki ukweli Iran a au jua vizuri moto wa Yakobo!!!
 
Israel ingekuwa nchi ndogo isingegawa kichapo kwa nchi nne za kiarabu kwenye ile vita maaana kipindi kile alisimama mwenyewe hapakuwepo huyo mmarekani hata sasa anawafinya tu tatizo kobazi mmewekeza kwenye madufu mnategemea nini
Nchi nne ukiwa na maana ya palestina, Lebanoni, sirya na yemeni? Nchi ambazo anga zao ziko wazi kwa kuingia mikataba ya ******* na marekani. Hapo watu wanaojielewa labda ni wa yemeni tu na sio nchi nzima ni kundi la watu /kabila
 
Yani Iran ndio imetoa kipigo kwa Israel live Dunia yote wanaona mara 2!!

Adi sasa Dunia aijaona chochote Israel imefanya kwa Iran!!

Lkn mchambuzi wa kilokole kutoka kinyonga ndanindani anatoa mfano kwa Israel inaweza kuipiga Iran ¿¿¿¿

ni sawa na kutoa mfano jinsi maji yanavyoweza kupanda mlima!!!!!
 
Maneno ya Taarabu kama hayo hata kwenye Kanga yapo tu. Lakini ki ukweli Iran a au jua vizuri moto wa Yakobo!!!
Mbona atujaona moto wa jako tumeona moto wa Ayatollah live tena mara2 !!!

Israel ilikuwa Propaganda bin Media lkn awana kitu zaid ya misaada!!!!

Iran ndio nyokoo wenyewe !!! Israel imetolewa lebanon imepelekwa Yemen manake Iran ndio anaichezesha Israel vile atakavyo yeye Na bado wanaiogopa kuigusa Iran !!!!
 
Israel na Wayahudi kwa ujumla, ndiyo Taifa lililopigana vita vingi kuliko taifa lolote Duniani,
Taifa lililopigana vita nyingi zaidi duniani ni France, toka karne ya 9.
Jeshi la France limehusika katika vita 300.
 
Mimi sio kobazi. Israeli ni ndogo kijografia ila ina jeshi dogo imara lenyel ujuzi na uzoefu wa kivita. Wasi wasi wangu ni kwamba kama mashambulizi yatatoka Yemen na iran huku Hezbollah itakuwaje? Ataweza kuhimili vishindo
Mchimba kisima.....!?
 
Jibu ni yes ataishambulia,kwenye idadi ya nchi alizobakiza yeye(Israel) na US ni Iran,tena walitaka wawe wamempiga muda tu
List yao ilikua
Afghanistan…kuna malighafi
Iraq…. Kuna malighafi
Libya…malighafi
Sudan…malighafi
DRC… CIA&Mossad wanapandikiza watu wao.. malighafi
Central republic…wanapandikiza watu wao
The Iran
NB
Gaza ule Ila dad wa bahari wanauhitaji sana
 
Fikra potovu ambazo hazina ukweli!!!!
 
Israel hana uwezo wa kupigana na iran huyo Netanyahu kelele tu ni sawa sawa na mbwa anaye foka sana ujiwe hana kitu.
 
Wewe ndo unafaa uitwe mchambuzi

Umechambua vyema sana
 
Tatizo ni kwamba israeli yuko katika kifua cha marekani na irani yuko katika kifua cha urusi. Hapo ndo vita inaweza kuwa ngumu
 
 
Israel hana uwezo wa kuishambulia iran ukiona shambulio lolote kwwnde iran nyumna kuna usa
 
Tatizo ni kwamba israeli yuko katika kifua cha marekani na irani yuko katika kifua cha urusi. Hapo ndo vita inaweza kuwa ngumu
Iran hategmei mtu jamaa hawa jama wwnajitegemea na ni hard working kweli kwlei japo kuwa katika camp ya urus na china kuna mwongezea faida lakin iran atapigana na kujilinda mwenyewe
 
Ni moja ya operationa kubwa kuwahi kufanywa kati ya nchi na nchi bravo iran
 
Wajinga hamkosi visingizio!!!
Mnateseka sana ukiambiwa hicho kikoloni kinachoishi kwa misaada ya west hakiwez kitu pole sana huo ndo ukwel professor jefery sach ni myahudi kuliko wew na ni mmarekan mskilize utafuta tongotongo acha kufuata walokole kungu na iman fake ya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…