Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

Kwa kosa gani kuwa precise,kuwa anaweza kukamatwa kwa tuhuma fulani? Maana jaji mkuu ana privilege na immunity......na kukamatwa sio kirahisi ivyoo........toa scenario yako vizuri mkuu

Kipi kisichoeleweka hapo? Nimeuliza anakamatika au hakamatiki wewe unaanza kuleta porojo, kwa mfano Raisi wa nchi hakamatiki hapo hkn maelezo mengine!
 
Ok Asante kwa hilo, kwa hiyo hana kinga, na je, akifikishwa Mahakamani bado anakuwa ni Jaji Mkuu?
Sijui unaelekea wapi na maswali yako lakini Hadhi ya jaji ni ileile awe jaji wakawaida, wa mahakama ya rufaa au jaji mkuu. Kama jaji anayo makosa ya kijinai inapaswa taratibu za kumfuta ujaji zitumike kwanza kabla ya kumshitaki.
Ambazo ni rais kuunda jopo la majaji watatu, wawili kati yao watatoka katika nchi za jumuia ya madola. Watachunguza sababu za kutaka kumfuta ujaji na wakidhidhibitisha wataipa mamlaka ya uteuzi hizo findings zao na atavuliwa ujaji wake kisha ni ruksa kumshitaki.
Jaji hashtakiwi kwa jinai akiwa bado hajavuliwa hadhi hiyo.
 
Ndio mkuu
 
Asante kwa maelezo mazuri, hiyo ya Majaji ktk Jumuiya ya Madola iko kwenye Katiba yetu? Na kama ipo kwenye Katiba ina maana tukijiondoa Jumuiya ya Madola ambayo tunaambiwa ni hiari, ina maana inabidi tubadilishe Katiba?
 
Sio porojo
Kipi kisichoeleweka hapo? Nimeuliza anakamatika au hakamatiki wewe unaanza kuleta porojo, kwa mfano Raisi wa nchi hakamatiki hapo hkn maelezo mengine!
Ni kwamba jibu la swali lako ninaitaji precise question na brief answer kama Mkuu chakaza alvyotoa jibu in brief but with legal procudere in short.....sasa ukiuliza anakamatwa au akamatwi na police still swali lako lipo juju mkuu,sio wote tunaojuwa sheria.
 
Kwa mtazamo wangu... Jaji mkuu atakamatwa na polisi ila kwa amri ya raisi na sio mtu mwengine.. ata kama ata tenda kosa, kitakacho tokea ni raisi kumvua madaraka na kuwa km mm na ww yaani raia wa kawaida hapo ndio atahukumiwa ila sio akiwa km jaji mkuu.. lazima amri itoke kwa raisi .. ndio maana hata wenzetu kenya uhuru amesema lazima atadili na jaji mkuu akipata uraisi ... Wote wako chini ya raisi na chini ya raisi ndio kuna polisi. Ni mtazamo wangu tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa sababu ni mbali sana hili kutokea amri inayotoka huwa ni kukusanya hati zote za kusafiria na kukaa patakapo amuliwa na rais,chini ya uangalizi maalum.

Kuna vyeo ni raha sana.
 
Ok Asante kwa hilo, kwa hiyo hana kinga, na je, akifikishwa Mahakamani bado anakuwa ni Jaji Mkuu?
Kwa ufahamu wangu anavuliwa ujaji kwanza ndipo anakuwa prosecuted.

I stand corrected

Sent using North Korean Hydrogen Bomb
 
Asante kwa maelezo mazuri, hiyo ya Majaji ktk Jumuiya ya Madola iko kwenye Katiba yetu? Na kama ipo kwenye Katiba ina maana tukijiondoa Jumuiya ya Madola ambayo tunaambiwa ni hiari, ina maana inabidi tubadilishe Katiba?
Nadhani ipo, na utaratibu huo ndio unaotumika kwa nchi zote za jumuia ya madola.
Ukijitoa hakuna sababu ya kuufata utaratibu huo. Ila nadhani lazima utajiwekea namna yako ya kulinda hadhi ya jaji ili asiwe na woga katika maamuzi.
Hata kumtoa CAG kazini kuna mlolongo mrefu kidogo ila siukumbuki sawasawa
 
Jaji mkuu kwa taifa letu anaweza kukamatwa na polisi, anaweza kufikishwa mahakamani lakini hawezi kushtakiwa akiwa ni jaji mkuu. Pia inaapply kwa majaji wote kwa ngazi za vyeo vyao.
Kushtakiwa lazma avuliwe ujaji na protokali ya kumvua jaji na pia kwa majaji wengine ni ndefu ila ikifuatwa wanafikia hatua hiyo. Mifano ninasema ivi kwa kuwa kila kesi with exceptions ( other laws apply) uanzia mahakama za chini ambazo obviously zina mahakimu. It implies Hakimu hawezi kumhukumu jaji. Ila ni debate ndefu sijui kama tunaweza kuiandika nzima ila kiujumla anaweza kukamatwa, kufikishwa mahakama ni ila kuadhibiwa ni lazma avuliwe ujaji kwanza
 
Kwa mtazamo wangu... Jaji mkuu atakamatwa na polisi ila kwa amri ya raisi na sio mtu mwengine.. ata kama ata tenda kosa, kitakacho tokea ni raisi kumvua madaraka na kuwa km mm na ww yaani raia wa kawaida hapo ndio atahukumiwa ila sio akiwa km jaji mkuu.. lazima amri itoke kwa raisi .. ndio maana hata wenzetu kenya uhuru amesema lazima atadili na jaji mkuu akipata uraisi ... Wote wako chini ya raisi na chini ya raisi ndio kuna polisi. Ni mtazamo wangu tu..

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa uelewa wangu finyu raisi hana mamlaka ya kumvua jaji ujaji
 
Ndio anakuwa bado jaji mkuu mpaka avuliwe ujaji na jopo la majaji na ripoti kupelekwa kwa rais ili adhibitishe kufukuzwa kazi au kukataa. Ikumbukwe rais asipothibitisha huwezi kumvua ujaji, na jopo la majaji lililoundwa kikatiba kura zisipotosha za kumvua ujaji rais hataweza kumvua ujaji. Ivo process iko complicated

Na Kama Jaji Mkuu akifikishwa Mahakamani anakuwa bado Jaji Mkuu?
 
Kwa Tanzania, yeyote anaweza kukamatwa kama ishu ni jinai, save for the president!
 
Back
Top Bottom