Kwa kosa gani kuwa precise,kuwa anaweza kukamatwa kwa tuhuma fulani? Maana jaji mkuu ana privilege na immunity......na kukamatwa sio kirahisi ivyoo........toa scenario yako vizuri mkuu
Sijui unaelekea wapi na maswali yako lakini Hadhi ya jaji ni ileile awe jaji wakawaida, wa mahakama ya rufaa au jaji mkuu. Kama jaji anayo makosa ya kijinai inapaswa taratibu za kumfuta ujaji zitumike kwanza kabla ya kumshitaki.Ok Asante kwa hilo, kwa hiyo hana kinga, na je, akifikishwa Mahakamani bado anakuwa ni Jaji Mkuu?
Ndio mkuuSijui unaelekea wapi na maswali yako lakini Hadhi ya jaji ni ileile awe jaji wakawaida, wa mahakama ya rufaa au jaji mkuu. Kama jaji anayo makosa ya kijinai inapaswa taratibu za kumfuta ujaji zitumike kwanza kabla ya kumshitaki.
Ambazo ni rais kuunda jopo la majaji watatu, wawili kati yao watatoka katika nchi za jumuia ya madola. Watachunguza sababu za kutaka kumfuta ujaji na wakidhidhibitisha wataipa mamlaka ya uteuzi hizo findings zao na atavuliwa ujaji wake kisha ni ruksa kumshitaki.
Jaji hashtakiwi kwa jinai akiwa bado hajavuliwa hadhi hiyo.
Sijui unaelekea wapi na maswali yako lakini Hadhi ya jaji ni ileile awe jaji wakawaida, wa mahakama ya rufaa au jaji mkuu. Kama jaji anayo makosa ya kijinai inapaswa taratibu za kumfuta ujaji zitumike kwanza kabla ya kumshitaki.
Ambazo ni rais kuunda jopo la majaji watatu, wawili kati yao watatoka katika nchi za jumuia ya madola. Watachunguza sababu za kutaka kumfuta ujaji na wakidhidhibitisha wataipa mamlaka ya uteuzi hizo findings zao na atavuliwa ujaji wake kisha ni ruksa kumshitaki.
Jaji hashtakiwi kwa jinai akiwa bado hajavuliwa hadhi hiyo.
Ni kwamba jibu la swali lako ninaitaji precise question na brief answer kama Mkuu chakaza alvyotoa jibu in brief but with legal procudere in short.....sasa ukiuliza anakamatwa au akamatwi na police still swali lako lipo juju mkuu,sio wote tunaojuwa sheria.Kipi kisichoeleweka hapo? Nimeuliza anakamatika au hakamatiki wewe unaanza kuleta porojo, kwa mfano Raisi wa nchi hakamatiki hapo hkn maelezo mengine!
Hahaha hajui bana
Hakuna Jaji Mkuu nchi ile na hatakuwepoSasa ndiyo umejibu nini wee Meku? Nimeuliza Cheo na siyo mtu fulani!
Na kwa sababu ni mbali sana hili kutokea amri inayotoka huwa ni kukusanya hati zote za kusafiria na kukaa patakapo amuliwa na rais,chini ya uangalizi maalum.Kwa mtazamo wangu... Jaji mkuu atakamatwa na polisi ila kwa amri ya raisi na sio mtu mwengine.. ata kama ata tenda kosa, kitakacho tokea ni raisi kumvua madaraka na kuwa km mm na ww yaani raia wa kawaida hapo ndio atahukumiwa ila sio akiwa km jaji mkuu.. lazima amri itoke kwa raisi .. ndio maana hata wenzetu kenya uhuru amesema lazima atadili na jaji mkuu akipata uraisi ... Wote wako chini ya raisi na chini ya raisi ndio kuna polisi. Ni mtazamo wangu tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kwa chekechea hapa ni mikwaju tuSikia Dada angu mm sio mfuasi wa sizonje najaribu kukuelewesha uwe mwakini unajibu maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufahamu wangu anavuliwa ujaji kwanza ndipo anakuwa prosecuted.Ok Asante kwa hilo, kwa hiyo hana kinga, na je, akifikishwa Mahakamani bado anakuwa ni Jaji Mkuu?
Nadhani ipo, na utaratibu huo ndio unaotumika kwa nchi zote za jumuia ya madola.Asante kwa maelezo mazuri, hiyo ya Majaji ktk Jumuiya ya Madola iko kwenye Katiba yetu? Na kama ipo kwenye Katiba ina maana tukijiondoa Jumuiya ya Madola ambayo tunaambiwa ni hiari, ina maana inabidi tubadilishe Katiba?
Kwa mtazamo wangu... Jaji mkuu atakamatwa na polisi ila kwa amri ya raisi na sio mtu mwengine.. ata kama ata tenda kosa, kitakacho tokea ni raisi kumvua madaraka na kuwa km mm na ww yaani raia wa kawaida hapo ndio atahukumiwa ila sio akiwa km jaji mkuu.. lazima amri itoke kwa raisi .. ndio maana hata wenzetu kenya uhuru amesema lazima atadili na jaji mkuu akipata uraisi ... Wote wako chini ya raisi na chini ya raisi ndio kuna polisi. Ni mtazamo wangu tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Kama Jaji Mkuu akifikishwa Mahakamani anakuwa bado Jaji Mkuu?
kwa uelewa wangu finyu raisi hana mamlaka ya kumvua jaji ujaji