Hawashitakiwi kwa mambo yaliyojitokeza katika kutimiza majukumu ya kazi yake! Otherwise kwa jinai nyingine, anaweza kukamatwa!Majudge wana kinga yakutoshtakiwa akiwa yupo madarakani yani wana judicial immunity,.....
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna aliyeko juu ya sheria.Watu wa Sheria naombeni jibu, Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari wetu na kufikishwa Mahakamani? Najua Raisi wa nchi hawezi kukamatwa, vp kuhusu Jaji Mkuu?
Sababu hizo zote zinaondoa sifa ya kuwa jaji. Hivyo anashughulikiwa ujaji wake huku Rais akiwa kamuweka pembeni kwanza pending termination.Hivi ikitokea Jaji ana mashitaka ya jinai yasiyohusiana na kazi yake ya Ujaji, naye anakinga?
Ikitokea mathalani Jaji anahusishwa na:
1.Uhaini
2.Mauaji kinyume cha sheria
3. Udanganyifu wa mali
Ina maana na yeye hashitakiwi?
Kwa mtazamo wangu... Jaji mkuu atakamatwa na polisi ila kwa amri ya raisi na sio mtu mwengine..
Sheria gani na taifa lipi inayasema haya uliyo andika?