Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

Hivi ikitokea Jaji ana mashitaka ya jinai yasiyohusiana na kazi yake ya Ujaji, naye anakinga?
Ikitokea mathalani Jaji anahusishwa na:
1.Uhaini
2.Mauaji kinyume cha sheria
3. Udanganyifu wa mali

Ina maana na yeye hashitakiwi?
 
Watu wa Sheria naombeni jibu, Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari wetu na kufikishwa Mahakamani? Najua Raisi wa nchi hawezi kukamatwa, vp kuhusu Jaji Mkuu?
hakuna aliyeko juu ya sheria.
 
Hivi ikitokea Jaji ana mashitaka ya jinai yasiyohusiana na kazi yake ya Ujaji, naye anakinga?
Ikitokea mathalani Jaji anahusishwa na:
1.Uhaini
2.Mauaji kinyume cha sheria
3. Udanganyifu wa mali

Ina maana na yeye hashitakiwi?
Sababu hizo zote zinaondoa sifa ya kuwa jaji. Hivyo anashughulikiwa ujaji wake huku Rais akiwa kamuweka pembeni kwanza pending termination.
 
Back
Top Bottom