Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Utengano ni udhaifu, tushikamane, tuinuane, tuinuke!Hawa jamaa wamebarkiwa Sana , hata hivyo wamefika hapo Kwa Gharama kubwa , waafrica viongozi wetu ni mamluki wa nchi za Magharibi, tunaogopa Gharama ya kujinasua , Africa isahau kufikia level za Asia ambayo pia nchi nyingi zilipitia adha ya kutawaliwa Ila wakajinasua , mara moja moja nchi za Africa hubahatisha kupata viongozi mashuhuri na wenye maono Ila huishia kusalitiwa na kuuliwa ..kila mmoja apambane na Hali yake tuu