Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivyovyote vile lakini wana Utu na UtulivuNahisi kuna tofauti kati ya utu na ustaarabu!
Kwa mfano, mashabiki kuokota makopo uwanjani=ustaarabu
Vilema kupewa kazi viwandani=utu
Wafanyakazi wa ndege kuomba radhi=ustaarabu
Hakuna mifano mingine ya utu huko Japan?
Mfano, mtu akiwa mgonjwa yumo ndani anapewa kampani + chakula na jirani yake au mpaka aite mamlaka za serikali zije zimsadie bila hivyo anajifia ndani?
Mayatima wanapewa sapoti na wanajamii?
Wazee wanathaminiwa?
Mtu akiwa hana hela yaani ana maisha magumu anapewa msaada na ndugu, jamaa na marafiki?
Wajapani wanasaidiana kifedha mtu na mtu?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Duh nimesomaUkitaka kujua wajapani wana huo utu unaosema jaribu ku google "murder of Junko Furuta"
🤣🤣🤣🤣Daaaah kwa huku kwetu naona taifa lingekuwa na uhaba wa vijana!.
Huyo Japan aliua wachina kikatili sana na kubaka wanawake wengi wa kichina hivyo kuna chuki baina yaoZile movie nyingi ni za wachina..Ni kama zile za North na South Korea...Ila kuwa jirani na Mchina lazima mchapane tu siku moja..
DPWHawa jamaa wamebarkiwa Sana , hata hivyo wamefika hapo Kwa Gharama kubwa , waafrica viongozi wetu ni mamluki wa nchi za Magharibi, tunaogopa Gharama ya kujinasua , Africa isahau kufikia level za Asia ambayo pia nchi nyingi zilipitia adha ya kutawaliwa Ila wakajinasua , mara moja moja nchi za Africa hubahatisha kupata viongozi mashuhuri na wenye maono Ila huishia kusalitiwa na kuuliwa ..kila mmoja apambane na Hali yake tuu
Jamaa walikuwa watata sana. Wameburuza sana majirani zao hapo wa Korea na China kipindi cha Japan emperial era.Japan walikuwa wakorofi sana hadi walipotulizwa na yale "makitu" yaliyodondoshwa Hiroshima na Nagasaki mwaka 1945
Fuatilia historia ya Japan... fuatilia vita ya pili ya dunia. Afu ujue wajapan halisi. Hawa wa Japan wa siku hizi wapole baada ya kupigwa bomu. Wajapan Wana historia ya ukatili hujawahi onaAnaandika KENGE,
Katika ulimwengu wa sasa upendo umeingia doa,Upendo hakuna tena,Visa vya ukatili haviishi.Dharau,Majungu na najigambo kuanzia kwa mtu mmoja kwa mwingine(Individually) mpaka mataifa kwa mataifa(internationally).Mataifa yamekosa utu na kuviziana,kupigana na kuuana imekuwa kama tabia sasa
Lakini Nchini JAPAN mambo ni tofauti kidogo.Hawa watu wamekua wakishika vichwa vya habari kwa nyakati tofauti tofauti kwa matendo yao ya UTU na Ubinadamu
Moja ya habari iliovutia wengi mtandaoni ni picha inayowaonesha wafanya kazi(Staff) wa Japan Airline wakiwaomba abiria wao msamaha baada ya ndege kuchelewa kufika uwanjani kutokana na mvua na hali ya hewa kuwa mbaya.
Sio hivyo tu,Kwa wapenzi wa Soka mtakumbuka kombe la dunia lililopigwa nchini Qatar.kuna tukio moja lilifanywa na mashabiki wa japan.Tukio ambalo liliibua hisia za watu wengi na kupelekea Japan kupewa TUZO ya timu yenye nidhamu.
Ilikua ni baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Germany,baada ya mchezo mashabiki wa Japan walianza kusafisha uwanja kwa kuokota uchafu wa makopo na makaratasi waliotupa wakati wa kuangalia mpira.Huku kauli mbiu yao ikiwa ni 'Triple C' yani Cheer,Chant,Clean wakiwa wanamaanisha tunashangilia,tunafanya lolote lakini mwisho tutaacha tumesafisha
Tofauti na nchi zetu,Africa mchezaji akifunga atatupiwa chupa,mawe na kumulikwa tochi.Na kama ni derby Mfano Simba na Yanga zinacheza pale taifa timu moja ikifungwa shabiki wanang'oa viti yaani ni vurugu mwanzo mwisho.
Matukio ni mengi ya kuelezea UTU wa watu hawa.Miaka ya nyuma walipitisha sheria wafanyakazi wa kucontrol marobot wanatakiwa wawe ni vilema.Ili kusaidia walemavu kwahiyo ukienda viwandani waendesha robot utakuta ni wengi ni walemavu.
Yapo mengi ya kuelezea UTU wa waJAPAN lakini licha ya kuwa nchi zenye acient ya Asia yaani wachina,Wakorea wamekuwa wakitafuta chokochoko na mataifa mengine.Yani kuvimbiana lakini ni tofauti kwa wenzao JAPAN sio watu wa skendo kabisa
JE kwa karne hii JAPANESE ndio watu wanaothamini UTU na UBINADAMU
Nawasilisha
Wako mtiifu
Time fliesFuatilia historia ya Japan... fuatilia vita ya pili ya dunia. Afu ujue wajapan halisi. Hawa wa Japan wa siku hizi wapole baada ya kupigwa bomu. Wajapan Wana historia ya ukatili hujawahi ona
Duuh hii balaa sasaNiliwahinkuambiwa huko kuwa suoermarkets zinapata hasara sana kutokana na items nyingi kuonekana kama reject ilhali kwingine duniani zingeweza kuuzwa kama kawaida.
Mfano plastic bottle ya maji ikibonyea kutokana na adha ya usafirishaji Japan huwezi ukaipanga kwenye shelf . ni ya kutupa kwenye dustbin
Yule waziri anaendesha gari la serikali na hawara kumkimbia mke wake anapata ajali na kumuua hawara ndio kwanza second in command anaenda kumtembelea hospital kumfariji na kumpa pole.Japan mtu watu wakigundulika wamekula rushwa wanajinyonga Kwa aibu...
Huku MLA rushwa ndo tunampa na ubunge....🤣
kwa kwel sisi watu weusi ni manyani mtu.Yule waziri anaendesha gari la serikali na hawara kumkimbia mke wake anapata ajali na kumuua hawara ndio kwanza second in command anaenda kumtembelea hospital kumfariji na kumpa pole.