Je, Jerry Silaa amemgomea Rais Samia kufanya kazi katika Wizara ya Habari?

Je, Jerry Silaa amemgomea Rais Samia kufanya kazi katika Wizara ya Habari?

Mkuu ninyi ni wepesi sana, mnaandika vile vitu mnavyotumwa tu kuviandika(nyie mnaita self censorship).
Wananchi wanawadharau mnaposhindwa calling a spade a spade.
Nipimwe akili nisipimwe, waandishi wenu wengi ni makanjanja tu.
Moja mimi sio Mkuu.
PIli mimi situmwi kuandika.
Tatu huhitaji kupimwa chochote majibu tumeshayapata hicho cha kupimwa hauna.
Kanjanja wa Mabambasi wewe
 
Kukaa kwenye wizara ambayo wafanyakazi hawana mishahara wao wananuna habari,kununuliwa na maboss na kazini mwao hawana PAYE wala NSSF.n kazi sana.
 
Kukaa kwenye wizara ambayo wafanyakazi hawana mishahara wao wananuna habari,kununuliwa na maboss na kazini mwao hawana PAYE wala NSSF.n kazi sana.
Sana
 
Back
Top Bottom