Moja mimi sio Mkuu.Mkuu ninyi ni wepesi sana, mnaandika vile vitu mnavyotumwa tu kuviandika(nyie mnaita self censorship).
Wananchi wanawadharau mnaposhindwa calling a spade a spade.
Nipimwe akili nisipimwe, waandishi wenu wengi ni makanjanja tu.
Ha ha ha !Moja mimi sio Mkuu.
PIli mimi situmwi kuandika.
Tatu huhitaji kupimwa chochote majibu tumeshayapata hicho cha kupimwa hauna.
Kanjanja wa Mabambasi wewe