Je, Jeshi la polisi limeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa Basi zinazojaza hadi kusimamisha abiria?

Je, Jeshi la polisi limeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa Basi zinazojaza hadi kusimamisha abiria?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
Kuna tabia mbaya imeshamiri na imekuwa ni kawaida inahatarisha usalama wa wasafiri. Je, Jeshi la polisi limeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa Basi zonazojaza hadi kusimamisha abiria?

Hali hiyo ipo kwenye bajaji yani pale mbele kwenye siti yake anapakiza abiria wa2bnayeye wa3 hadi ye anakaa kama anajipu usalama barabarani mpo?
 
Jeshi la polisi nimeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa basi zinazojaza hadi kusimamisha abiria? Hali hiyo ipo kwenye bajaji yani pale mbele kwenye siti yake anapakiza abiria wa2 na yeye wa3 hadi ye anakaa kama anajipu. Usalama barabarani mpo?
Acha wivu
 
Back
Top Bottom