Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Kuna tabia mbaya imeshamiri na imekuwa ni kawaida inahatarisha usalama wa wasafiri. Je, Jeshi la polisi limeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa Basi zonazojaza hadi kusimamisha abiria?
Hali hiyo ipo kwenye bajaji yani pale mbele kwenye siti yake anapakiza abiria wa2bnayeye wa3 hadi ye anakaa kama anajipu usalama barabarani mpo?
Hali hiyo ipo kwenye bajaji yani pale mbele kwenye siti yake anapakiza abiria wa2bnayeye wa3 hadi ye anakaa kama anajipu usalama barabarani mpo?