Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Naridia tena na kukuonya usiseme uongo tena kwamba Yesu hajawahi kujiita mwana wa Mungu
 
Tatizo hakuna jina moja wazungu wanamwita Jesus na waswahili wanamwita Yesu na lugha zengine wanamwita vyengine pia sasa hapo tutasemaje ni jina moja?
Lakini wakimaanisha jina moja
 
Malaika waovu huwa nao wana sifa kama za malaika wengine wao wamebadilika?
Malaika wa ovu awajabadilika wamebakia kwenye uovu,pili wao walishahukumiwa tayari, mwanadamu ndo anaesubiria hukumu
 
Kama jina lake yeye mwenyewe Yesu halikumsaidia kwenye maombi yake Yesu ya kumuomba babaake alioko mbinguni kumuepusha na kikombe cha umauti kilichokuwa kinamkabili wakati anaenda kusulubiwa, na matokeo yake akasulubiwa na kufa msalabani, iweje jina lake hilo hilo liweze kukufanyia muujiza wewe mmatumbi wa TZ?
 
Yani unaona kabisa hizo ni Translation , alafu unajiona umeweka biblia tofauti nyingi 😁
😁
 
Jibu la haraka hqraka ni ndiyo ....jina la YESU lina nguvu hasa kwa sisi tunao amini katika hilo jona ...je una swali la nyongeza?
 
Majini si yapo kanisani huko ndiyo wanatokana kila siku,akianza yesu kuyafurusha,Sasa yamebaki hukohuko kanisani
Wakristo hawana urafiki wa aina yoyote na mashetani
  • Upande wa pili Allah anasema kila muislamu ana shetani yupo nae mpaka Muhammad alikuwa na shetani ambae kawa muislamu
    • "I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
    • “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
  • Je Kanisani wanayashughulikia yanatoka wapi, Koran inaweka wazi allah anayatuma
    • Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
waulize waganga na wachawi ndiyo wanajua kwanini mlokole harogeki na je huwa wanakutana na nini wakienda kwa walokole
 
waulize waganga na wachawi ndiyo wanajua kwanini mlokole harogeki na je huwa wanakutana na nini wakienda kwa walokole
 
Kwenye ile filamu napenda sana clip ya yule dogo
 
Shetani ni sifa siyo kiumbe,hata wewe unapomtongoza mtoto wa watu ukazini huwa unakua shetani,ukuaji mwingi ilhali hujui chochote,yule aliyekua anapinga story na yesu akawa anamjaribu kule milimani hakua shetani unayemsema!?...akamwambia abadili jiwe kuwa mkate
 
Naridia tena na kukuonya usiseme uongo tena kwamba Yesu hajawahi kujiita mwana wa Mungu
Yesu hajajiitapo mwana wa mungu hizo sehemu ambazo amenukuliwa amejiita ni ametiwa maneno hayo kinywani mwake Na waandishi
 
Yesu hajajiitapo mwana wa mungu hizo sehemu ambazo amenukuliwa amejiita ni ametiwa maneno hayo kinywani mwake Na waandishi
Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba,baba yangu ambaye ni baba yenu,mungu wangu ambaye ni mungu wenu...huwa wanakosea tu kuelewa,Ila jamaa aliwekaga wazi
 
Usilete stori za vijiwe , Muhammad anasema shetani ni kiumbe sio sifa
  • Upande wa pili Allah anasema kila muislamu ana shetani yupo nae mpaka Muhammad alikuwa na shetani ambae kawa muislamu
    • "I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
    • “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
  • Je Kanisani wanayashughulikia yanatoka wapi, Koran inaweka wazi allah anayatuma
    • Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Nenda mazabahuni wakakufanyie ule mchezo walokuzowesha tangu mdogo
 
Umesoma hicho ulichoandika?
 
Nenda mazabahuni wakakufanyie ule mchezo walokuzowesha tangu mdogo
Usipaniki
Shetani mpaka muhammad anasema huwa analala kwenye pua zenu , ukiamka asubuhi mtoe kwanza , ingiza maji kwenye pua kisha puliza pua kwa nguvu
It was narrated from Abu Hurairah that the Muhammad said:
"When any one of you wakes from sleep to perform Wudu', then let him sniff water in his nose and blow it out three times, for the Shaitan spends the night on his nose." Vol. 1, Book 1, Hadith 90
 
Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba,baba yangu ambaye ni baba yenu,mungu wangu ambaye ni mungu wenu...huwa wanakosea tu kuelewa,Ila jamaa aliwekaga wazi

Yohana : 8 : 54 - Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

Vipi hiyo si iko wazi tuu au muandishi kafanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…