Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Felista means Happy!
 
Ebanae... kama kweli vile asee
 
Mbona hujaelezea unavyopasuliwa mayai. Na kwa nini unapenda kuanguka kifudifudi?
 
Mimi langu ni jina la course yangu niliyosomea chuo, nimesoma Bcom banking and financial services, huwa napata sms za watu wanahitaji financial assistance wakihisi nahusika na hizo huduma,dooh mwenyewe naunga unga tuu
Nimekusamehe lakini sitakusahau...

Hujambo lakini?

Naomba niwe dawa yako ya kutuliza maumivu
 
"Yaani we mwanaume usingenioa ningekuwa kichaa. Nimeolewa na dawa. Nikijisikia maumivu natamani nikuone ili maumivu yaishe" ... bibi yenu.

Kwanini nisiwe aspirin? Wakati anatamka maneno hayo dawa pekee ya kutuliza maumivu ilikuwa aspirin (wengi hapa baba zenu walikuwa hawajazaliwa, najua kwakuwa nilikuwa boyfriend wa bibi zenu)

Sky Eclat hebu njoo hapa uthibitishe hii kauli kabla sijabadili mawazo
 
sawa sawa!! 😊😊😊
 
I πŸ’–
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…