Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kuna mtu ameniuliza kwanini nimebadili id ukamuambia akutajie hiyo id yangu ya zamani ili usije ukatongoza mara mbili mimi mwenyewe nikakutajia nikakuambia ni Edelyn ukasema kwamba sijakupata bado nijaribu tena siku nyingine ndiyo nikakuuliza kivipi yaani kwamba umemaanisha nini?
Hebu rudia swali lako mjukuu
 
Uenda halina maana..Ila naamini kuna sababu za kutumia hilo jina
Yeah nimeshasema kule juu sababu ni kuwa nilitaka tu jina lolote zuri lenye herufi nane, yaani konsonanti nne na irabu nne zilizojipangilia vizuri ndiyo likaja hili.
 
Ohooo...nimemaanisha ulikuwa huitwi Edelyn unatudanganya... Yaani ujipange upya kunidanganya siku nyingine labda ndo utaweza kunipata....

Umeelewa sasa au twende PM tukanong'onezane??
 
Hahahaha ni kweli babu my former id was Edelyn au waulize hata kina Extrovert na Lizarazu watakwambia
Ohooo...nimemaanisha ulikuwa huitwi Edelyn unatudanganya... Yaani ujipange upya kunidanganya siku nyingine labda ndo utaweza kunipata....

Umeelewa sasa au twende PM tukanong'onezane??
 
Kwani hauna mdomo ? Au umemaanisha nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kwanini uliamua kubadili???
Sababu hiyo hapo babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…