Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Rural Swagga Kuna njemba moja miaka ile ya elfu mbili big brother africa ndio inaanza anza sikumbuki season ya ngapi ile...alikua anavaa mcheni wa culture umeandika rural swagga kama bush men flani hivi jamaa alikua fundi sana akili nyingi sanaa....Ndio alinivutia nikaiba nick name yake
 
Lisu ni ngumu kuwa Rais. Nyie wachaga hamtakubali agombee kupitia Chadema. Lazima Mbowe ambanie tu. Victoire ni jeshi la mtu mmoja. Nadhani Victoire timing ilimponza tu. Alitakiwa baada ya awamu hii ndo aende Rwanda akampinge Kagame. Angeendelea kuweka nguvu zake kwenye mitandao huku akiwa Uholanzi.
Yule demu awe rais wa Rwanda?hata angevizia kwenda Rwanda kwny awamu ya ngapi hawezi kua rais.

Nilimuona ametoka jela na kipara chake kinang'aaa amependeza kama wakina Flavian Matata vile hahah.
 
Hata Messi na Ronaldo hauwajui majina??[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hawa hawako Kwenye timu yetu Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hahahaha..
Opportunities gani uliziona huko.?
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hata kuchunga ng'ombe....
Mchunga ng'ombe wa USA huwezi mfananisha na Polisi wa Tz kiuchumi....

Opportunities kuke ni nyingi kwa mtu anayejishughulisha na usiyependa misifa ya kuspend..[emoji16][emoji16]
 
Kwanini uliamua kurudi bongo?
 
😂😂😂😂😂😂

Back
Top Bottom