Ujeuri wako ni diet tosha..Sihitaji kwenda gym.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwamba unataka kusemaje labda?
Ahsantee Extrovert.Hahahah sawa mdada mtam tam[emoji39],,, hongera sana mwayego.
isije ikawa una mdai.. nikarithi na madeni!!ππAkili yangu inaniambia Ni wewe
Sawa mkuu ila zile 3YE it's a suicideMimi ndio Ninaemzuia Mchomoa Betri pale Tanker la Mafuta Linapoanguka
Dah,sijui wapo wapi ? Hata kuchungulia chungulia kidogo. Mweh.Nyamayao Kongosho mwanajamii1 King'asti cacico BADILI TABIA snowhite gfsonwin ladyfurahia Paloma Preta Blaki Womani sweetlady na wengine kibao wamepotea kama mlango wa bodaboda, Angalau ninajua Dena Amsi alishatangulia mbele ya haki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]isije ikawa una mdai.. nikarithi na madeni!![emoji23][emoji23]
Yule demu awe rais wa Rwanda?hata angevizia kwenda Rwanda kwny awamu ya ngapi hawezi kua rais.Lisu ni ngumu kuwa Rais. Nyie wachaga hamtakubali agombee kupitia Chadema. Lazima Mbowe ambanie tu. Victoire ni jeshi la mtu mmoja. Nadhani Victoire timing ilimponza tu. Alitakiwa baada ya awamu hii ndo aende Rwanda akampinge Kagame. Angeendelea kuweka nguvu zake kwenye mitandao huku akiwa Uholanzi.
Wengine wamebadili ID wanatuchora tu LOLDah,sijui wapo wapi ? Hata kuchungulia chungulia kidogo. Mweh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana[emoji23][emoji23][emoji23].
Nipo Liverpool tangu enzi zile za kina Gerald na Torres.
Huyu Mo salah kijana wa juzi tu huyu.
Ngoja nikubali kishingo upande..
kumbe si kwa mabaya! kuna kufanana inaonekana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana simdai..namuuliza kwa Nia njema tu,Ni moja Kati ya watu ninaowakubali hapa jf
Tuambie Basi Kama ndio wewekumbe si kwa mabaya! kuna kufanana inaonekana!!
Don Clericuzio njoo unisaidie kutaja majina ya wachezaji wetu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Mimi nawajua kwa sura tu.Oohh sasa unapenda wachezaji gani zaidi??
Hata Messi na Ronaldo hauwajui majina??[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Don Clericuzio njoo unisaidie kutaja majina ya wachezaji wetu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Mimi nawajua kwa sura tu.
Nayemjua jina na sura Ni mo salah[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa hawako Kwenye timu yetu Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hata Messi na Ronaldo hauwajui majina??[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hata kuchunga ng'ombe....Hahahaha..
Opportunities gani uliziona huko.?
Kwanini uliamua kurudi bongo?[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hata kuchunga ng'ombe....
Mchunga ng'ombe wa USA huwezi mfananisha na Polisi wa Tz kiuchumi....
Opportunities kuke ni nyingi kwa mtu anayejishughulisha na usiyependa misifa ya kuspend..[emoji16][emoji16]
Rural Swagga Kuna njemba moja miaka ile ya elfu mbili big brother africa ndio inaanza anza sikumbuki season ya ngapi ile...alikua anavaa mcheni wa culture umeandika rural swagga kama bush men flani hivi jamaa alikua fundi sana akili nyingi sanaa....Ndio alinivutia nikaiba nick name yake