Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kwanini uliamua kurudi bongo?
Nilikuwa na J1 visa ambayo ambayo inaangukia kwenye exchange visitor...nilipomaliza exchange programu, nilitakiwa kurudi nyumbani...ndiyo niweze kuapply kurudi twna airha kimasomo, au mambo mengine....so ndiyo tupo kwenye michakato
 
Ooh vizuri.
Kwa binti km Mimi kule Kuna fursa gani halali ninazoweza kufanya!??
 
Ukiwa na utaalamu fulani, wenzetu wanajali...lakini kma hunq utaalamu, endapo una green card utapata kazi za kawaida za kutumia nguvu mfano...usafi, uhudumu wa restaurants and the likes...
Personally, i was teaching Swahili..[emoji15][emoji15]
 
Zipi zinalipa zaidi?
 
Hawa hawako Kwenye timu yetu Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ooh kumbe unawapenda wachezaji wa liverpool tu basi??
 
Utaalamu wa kielimu au? Na vipi kule mtu anaheshimika akiwa na ngazi ipi ya elimu?
Ukiwa na utaalamu fulani, wenzetu wanajali...lakini kma hunq utaalamu, endapo una green card utapata kazi za kawaida za kutumia nguvu mfano...usafi, uhudumu wa restaurants and the likes...
Personally, i was teaching Swahili..[emoji15][emoji15]
 
Kwaiyo saivi unaenda kuingia chuo mwaka wa pili[emoji41]

Ilikuwa hivyo mkuu nilipata ARU pale mwaka jana lakini ilinibidi niandike barua ya kuahirisha masomo kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu....Am going to restart this year inshaallah..
 
Reactions: BAK
Piga kitabu Mkuu kwa uwezo wako wote.

Ilikuwa hivyo mkuu nilipata ARU pale mwaka jana lakini ilinibidi niandike barua ya kuahirisha masomo kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu....Am going to restart this year inshaallah..
 
Mimi niliwaza kwamba kwanini hii kitu ikose patina wakati palipo na dume lazima na jike iwepo wakati huo huo hiyo dume yake tu siijui inakuwagaje labda kwa walio kumbana nayo wanaweza kuielezea inakuaje. Basi ndo hivyo tu jina likawa Tezi jike basi sasa siijui inafananaje ila tu kina mama wajiandae huende ika gundulika na kwao kwa siku za hivi karibuni maana siku hizi magonjwa ni mengi
 
TalibKweli aka Kweli ni jina ambalo nalitumia kwenye mitandao tofauti ya Kibongo kitambo, ni jina alilonipa swahiba wangu mmoja mnamo mwaka 1989 pale Piraeus,Greece kutokana na kupenda kwangu sana Hip-hop na kutema mistari kama Talib Kweli.
Duh mwaka 1989,kumbe kuna wazee humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…