Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?


☺️

Yes, naweza na kuna mada nyingi huwa sichangii au mtu akiniquote sijibu na huwa baada ya kusoma mwandiko na kuuelewa...

Hata hivyo kwa JF, mwandiko huweza kudanganya sababu kuna baadhi ya werevu hapa wapo ahead of time kwa makusudi kabisa 😊

Ila aunt abiria wangu, wewe mwandiko wako ni mmoja tu labda ubadili kalamu 😉
 
Mimi napuliza na kuvuta.........
ndio maana naitwa ras.....
 
Oooow'
SweetieLee,
Nililiacha baada ya kuona kuna SweetLee mwingine watu wakawa wanatuchanganya hatari, nikaachana nalo.
Na sababu nyingine tu za kibinadamu.!

Ooh ila hata Carleen mbona wapo wengi SL!!
 
[emoji23][emoji23]kumbe siku ningemuita mtu mbususu ningeshtukia kofi
Asante kwa kunijuza
 
Heheheh, I chose mine for its ambiguity, kama unatafuta maana utapata tu.
Uchoyo sipendi kabisa so kila mtu achukue maana yake, let your imagination run free.
 
Ooh ila hata Carleen mbona wapo wengi SL!!
Humu JF kuna Carleen wengine rafiki yangu..?? Me sijakutana nao akiii'..
Kipindi hicho kuna watu wengi tu washanifata PM wakijua ni SL yule mwingine..
 
Ohoo ni vizuri ..

Ohoo yes wakati mwingine hutokea na inakuwa ngumu kujua labda kama unamjua mhusika basi inakuwa rahisi kidogo.

Uncle dereva hata nikibadilisha kalamu basi mwandiko hautoweza kubadilika😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…