Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Maxence melo alikata jina langu ila nilitaka liwe refu sana. Ila si linasomeka[emoji3581]
 
Kumbe kuna watu humu wanajikatia majina yao wenyewe?😋🤣🤣

Samwel Junior Jina langu kabisa
Samwel Simonovic Junior 🤙
 
Kuna nyimbo naitafuta week tatu Sasa cjaupata niliambulia kusikia maneno machache unaimba iv
"Ooh nananaa dance with me ohhhh nanaaaa oeeeehhh ohhhhhh "
Msaada wenu tacadhali niupate huh wimbo cjui ni WA Jamaica au vip...una vibe la dancehall.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…