Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Hasoo za kibabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@BAK ?Waliokuwa wakimwulizia uliwahi kusema labda wanajua alipo:
View attachment 2142358
Uzi pendwa:
Vipi, labda nawe wajua alipo?
nakubali mzee muhim michakato iende.Am Gangster like but still Smart...
Kichwani Niko vizuri japo napata rikizi Kwa kutumia nguvu nyingi...
A Gang but Smart Sana ...
Michoro mingi
namuelewa sana huyo kiumbe. hongera kwako mkuu.Daah nmezaliwa tarehe moja na mwezi mmoja na mwanasayansi wangu pendwa.
Leornardo Da Vinci
vibaya hivo mbona jina kama linasadifu yaliyomo.Napita...
au uliogopaga wazee wa noah nyeusi maana wengi tulianza kwa kujihami kwenye majina.Lilijileta tu lenyewe kichwani bila hata kufikiria nikitoa sababu yeyote itakuwa ni ya uongo.