Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

kwa upande wangu, nimeamua kujiita jina la mji ambao upo uturuki kutokana na kupendezwa na eneo hilo kwani nilishafikaga mara moja kwa shughuli za kibiashara.

funguka tupe mawazo yako.​
Uzi mama ndio huu Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?, upo humu tangu 2009
 
inaonwkana kuna sababu iliyopelekea uchague hili jina may be kuna movie uliipenda au ni kweli umekuja mjini bila nauli 😂 tupe sababu kidogo mkuu na si maana ya hilo jina.
Acha tu mkuu nikianza kusimulia hapa sijui km ntamaliza leo,
 
Balehe iliniendesha vibaya sana ilinifanya niwe mtu wa mademu na kuangalia porno, kitaa nilishafumaniwa mara kadhaa na vibinti habari zikazagaa mtaani

Nilipofikisha miaka 16 nikaanza zoea la kwenda mtaa wa Ohio Posta kununua malaya, habari zikafika hadi kitaa mbaya zaidi hadi nyumbani. Nikawekwa kikao kwanza na wazazi kisha wakaanza kuletwa wajomba, mashangazi na ndugu wengine wa ukoo

Nikaona isiwe taabu nikabadilisha chimbo la kununua malaya nikaanza kwenda Magomeni kwa Macheni

Pia nilikuwa kuwadi fundi kwenye kuwaaunganishia wengine mademu

Kwa sababu ya hizo mambo wadau wakanibatiza jina la utani mzee wa kupambania utamu (kumá)
 
🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nilikua inspired na movie moja inaitwa OUR FAMILY WEDDING.

Basically, I like mixing ideas and not drinks, In a philosophical context.

Kufanya yasiyojulikana yajulikane na yanayojulikana yasijulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…