stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Stow away lipo open hata wewe unaelewa maana yake sina haja ya kuelezea,funguka tupe mawazo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stow away lipo open hata wewe unaelewa maana yake sina haja ya kuelezea,funguka tupe mawazo yako
Ahsante kwa muongozoNimeshasahau[emoji43][emoji94]
Uzee huu
kwa upande wangu, nimeamua kujiita jina la mji ambao upo uturuki kutokana na kupendezwa na eneo hilo kwani nilishafikaga mara moja kwa shughuli za kibiashara.
funguka tupe mawazo yako.
Uzi mama ndio huu Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?, upo humu tangu 2009ID yangu inamaanisha MPWA kwa kikabila chetu.
Nimeamua kuwa na hii Id kwa sababu tangu utotoni nimelelewa na my Auncle hadi na kanisapoti kielimu hadi nimefika chuo kikuu.
Auncle akiwa ananitambulisha kwa watu lazima aseme huyu ni Mpwa wangu, kwahiyo nimeamua kuwa na Id ya hivi kama kumkumbuka na kumuenzi kwa fadhila alizonifanyia.
inaonwkana kuna sababu iliyopelekea uchague hili jina may be kuna movie uliipenda au ni kweli umekuja mjini bila nauli 😂 tupe sababu kidogo mkuu na si maana ya hilo jina.Stow away lipo open hata wewe unaelewa maana yake sina haja ya kuelezea,
asante kwa hili mkuu, ila kuna new members nadhani ni wengi na huo uzi sizani kama unapeform.Uzi mama ndio huu Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?, upo humu tangu 2009
Acha tu mkuu nikianza kusimulia hapa sijui km ntamaliza leo,inaonwkana kuna sababu iliyopelekea uchague hili jina may be kuna movie uliipenda au ni kweli umekuja mjini bila nauli 😂 tupe sababu kidogo mkuu na si maana ya hilo jina.
shukrani sana mkuu na hongera kwa kutambua utu.Uzi mama ndio huu Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?, upo humu tangu 2009
na hawa hasa ndo najiulizaga hyu mtu aliwaza nn.Kuna jamaa anaitwa Prakatatumba abaabaabaa
Black-beauty flani iv au😆?Napita...
🤣🤣🤣🤣Balehe iliniendesha vibaya sana ilinifanya niwe mtu wa mademu na kuangalia porno, kitaa nilishafumaniwa mara kadhaa na vibinti habari zikazagaa mtaani
Nilipofikisha miaka 16 nikaanza zoea la kwenda mtaa wa Ohio Posta kununua malaya, habari zikafika hadi kitaa mbaya zaidi hadi nyumbani. Nikawekwa kikao kwanza na wazazi kisha wakaanza kuletwa wajomba, mashangazi na ndugu wengine wa ukoo
Nikaona isiwe taabu nikabadilisha chimbo la kununua malaya nikaanza kwenda Magomeni kwa Macheni
Pia nilikuwa kuwadi fundi kwenye kuwaaunganishia wengine mademu
Kwa sababu ya hizo mambo wadau wakanibatiza jina la utani mzee wa kupambania utamu (kumá)
Na hiyo hydrogen ya nini Mkuu?Kwa sababu mi ni fundi bomba