Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kuna member aliitwa Otorong'ong'o
 
Jina langu nadhani linafahamika BLACK JACKAL ni A.K.A ya mwamba mmoja hivi alishafanya matukio mengi sana na alipotafutwa alitumiwa wauwaji mahiri na walenga shabaha mashuhuri lakini hawakufua dafuuu πŸ˜‚
 
tam- initials ya majina yangu rasmi.
sana- niliweka baada ya kuonekana jina 'tam' lilikuwa limesasajiliwa humu. Ili kijitofautisha nikajiita tamsana.
 
Legend 🀣🀣🀣🀣
 
Bubbly mi ni mcheshi napenda story lazima tuongee tu with a vibe.... Molly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ iykyk.....
 
Kwa sababu natembelea namba 9 namba yenye nguvu kuliko namba zote, herufi za hilo jina ukizijumlisha zote inaleta namba 9
 
Kwa upande wangu, nimeamua kujiita jina la mji ambao upo Uturuki kutokana na kupendezwa na eneo hilo kwani nilishafikaga mara moja kwa shughuli za kibiashara.

Funguka tupe mawazo yako.​
Hatutoi codes yq majina yetu.

Tutabaki kuwa keyboard worrior daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…