Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kwa upande wangu, nimeamua kujiita jina la mji ambao upo Uturuki kutokana na kupendezwa na eneo hilo kwani nilishafikaga mara moja kwa shughuli za kibiashara.

Funguka tupe mawazo yako.​
Mimi hii ndio maana yake Women All Do In Zone (Wadiz)
 
Dah nimezaliwa ilala,makuzi yangu yote Hadi Leo naweza kuitwa mtu mzima ni ilala,nimesoma msingi Hadi namaliza sec ilala.
Sehemu ambayo najiskia amani moyoni nikiwepo..
 
MAPITO MWANZA NIMEZALIWA NA KUKULIA JIJINI MWANZA TZ NIMELIHAMA JIJI NILILOLIZOEA TOKA UTOTO LEO NAENDA MWANZA NA KUGEUKA YAANI NAPITA NWANZA KWANGU IMEKUA MAPITO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…