Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kwa upande wangu, nimeamua kujiita jina la mji ambao upo Uturuki kutokana na kupendezwa na eneo hilo kwani nilishafikaga mara moja kwa shughuli za kibiashara.

Funguka tupe mawazo yako.​
Mimi hii ndio maana yake Women All Do In Zone (Wadiz)
 
Dah nimezaliwa ilala,makuzi yangu yote Hadi Leo naweza kuitwa mtu mzima ni ilala,nimesoma msingi Hadi namaliza sec ilala.
Sehemu ambayo najiskia amani moyoni nikiwepo..
 
Back
Top Bottom