Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Jf ya zamani ilikua tamu sana, mwaka ambao huu uzi unaanzishwa mi nilikua naelekea kumaliza elimu ya msingi.

Jamaa wanajibizana kistaarabu mno mpaka raha.
 
Sasa hujasema hiyo baki ina maana gani.
 
Nilikuwa najaribu kutamka sweet kwa kiswahili na hiyo ni kwa upendo wa mke wangu wakati huo.NILIKUWA NAMWITA TAAMU.
 
na wewe tripo9,ni polisipolisi hivi,yaani mkuda fulani,yaani whistleblower kiaina not to be trusted.what else can explain 999


Nimepitia Uzi huu, nimefurahi sana
 
Debora Paul Laswai
Deb.

Jina zuri sana ila huku kwetu wanapewaga madem vilaza na wafupi, hahaaahaa sijui Depal upo wapi kati ya hao.

Ma-Debs wengi wa nje ni warefu af wazuri wana shape fln hv amazing, na upstairs wako vzr.
 
Deb.

Jina zuri sana ila huku kwetu wanapewaga madem vilaza na wafupi, hahaaahaa sijui Depal upo wapi kati ya hao.

Ma-Debs wengi wa nje ni warefu af wazuri wana shape fln hv amazing, na upstairs wako vzr.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Mimi ye34nbe maana yake

Ye = kanye west ni role model wangu na yeye anapenda kujiita ye kama nickname.

34 = nina account/id 34 humu jf.

Nbe = mimi ni mrefu napenda basketball ☺️☺️☺️☺️

Eti dada jina lako lina maana gani β˜ΊοΈπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ˜. Au unapenda kunibusu mdogo wako πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‰ πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€­πŸ€­
 
Id 34?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…