Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

😘Nimetulizwa tuliii😋....ngoja niachwe sasa....mbona mtajuta wanajf wote utadhani nyie ndo mliniambia mpee hicho kitumbua🤭🤣🤣🤣🤣🙌
😆😆😆😆ila hakikisha unatuma salamu saaana ili hata mkiachana akukumbuke

Ifyouknowyouknow
 
Mimi kila nikusain in google kwa jina langu ikawa inakataa, nikaamua first name niandike alu halafu last name bati ,nilipokuja kujiunga jf ikaja neno alubati basi nikatumia hilo,halina maana yoyote.
Yaa ni kweli ukitumia jina ambalo tyr limesajiliwa JF halikubali mpaka liwe jipya
 
Back
Top Bottom