Shimba (Simba)
ya (lenye)
Buyenze (Manyoya)
Manyoya ya simba dume (mane) ndiyo humtambulisha jinsia yake na pia hutumika kama kivutio kwa masimba jike ambayo huchukulia urefu, uzuri wa rangi na density ya manyoya hayo kama kiashiria cha DNA nzuri. Hivyo ili simba dume liweze kutawala na kumiliki majike kadhaa ni lazima liwe na manyoya marefu, yenye afya na yenye kuvutia (kama alivyokuwa Bob Junior). Na likiunguruma kwa sauti yake ya kimamlaka huku likiyatikisa manyoya yake kila memba wa himaya yake inabidi atilie maanani na kuzingatia ujumbe uliokusudiwa maana akipuuzia anaweza hata kuuliwa.
By the way, jina hili SYB linapo-pop kichwani mwako huwa lina-pop kwa mema au mabaya? Furaha au huzuni? Upendo au chuki? 😁😁😁🙏🏿
View attachment 2672388
View attachment 2672389
Joannah pulizi kaa mbali na jibu hili 😁😁