Kwa Muda sasa nimekuwa obsessed na Identity ya mwanadamu haswa ktk self consciousness. Hapo nikaangukua ktk essays za philosopher John Locke ( Locke's general theory of Identity) hapo nikajitambua na kuthamini sana Origin yangu ( Uafrica na Utanzania wangu) ila conflict inayonisumbua kichwa kama wengi wetu ni hali za kisiasa na maendeleo ya uchumi, selfishness, greediness, uonevu, ignorance etc etc. Waafrica wengi hawana huruma na wenziwao, hawana huruma, upendo, ari na nchi au bara lao llililojaaliwa. Wee need to be Loyal na nchi zetu Ukereketwa ukereketwa wajameni! tuijali nchi yetu. LoyalTzCitizen
Kule Dar (Bongo) maeneo ya temeke kuna jamaa ukifika muda wa maakuli...anaenda kuwaambia wateja kua anaouwezo wa kula jungu zima na ndoo ya maji peke yake.Ha ha ha ha ha 🙂 umenikumbusha njemba mmoja kazini tulikuwa tunamuita kiwavi kwa jinsi alivyokuwa mzima kwenye kula. Yeye aliamini kutupa chakula ni dhambi. Hivyo tulikuwa tukienda kula mahotelini katika safari za kikazi katika mikoa mbali mbali nchini alikuwa akiomba mtu ambaye anaona chakula chake ni kingi hivyo hataweza kumaliza aombe sahani safi na kukiweka pembeni. Yeye atakishughulikia akishamaliza share yake. Wakati mwingi tulikuwa watu wanne au watano. Na kweli alikuwa anavipitia vyote na kisha kushusha kwa chupa mbili za maji baridi. Kuna watu wamejaliwa appetite ya hali ya juu.
Fundi Mchundo ni fundi mchundo kweli kitaaluma. Kweli kabisa, ingawa nashukuru kuwa kuna baadhi wanaotaka kunipandisha kufikia uhandisi! Huko sikuwezi.
Amandla......
My real name, ila sijui maana yake. Kwa nini tustume majna yetu jamani? Mnaogopa nini? Ni mtazamo tu, kama nimewakwaza nisameheni.
Amandla is a Xhosa and Zulu word meaning "power". The word was a popular rallying cry in the days of resistance against Apartheid, used by the African National Congress and its allies. The leader of a group would call out "Amandla!" and the crowd would respond with "Awethu" or "Ngawethu!" (To us), completing the South African version of the rallying cry Power to the People!. The word is still associated with struggles against oppression - WikipediaAmandla....sijaijua nini maana yake.
Nmeikuta sana kwenye historia za Sheikh Dr. Mohamed Said za waasisi wa Tanu-.....!
This means mapenzi ya Mungu and its one of my names (middle names )Tuambie basi kuhusu jina lako zuri la Nsiande.