Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?


nimependa.
 
MAMENGAZI: maana yake ni shangazi kwa lugha ya kwetu, baba yangu hupenda kuniita hivyo kwa kua nilipewa jina la shangazi yake wa pekee.
 
Mimi ni dada na pia ni mrembo naamini.
Pretty Ni jina langu halisi na nikiwa home wananiita Da Pretty lakini hata lisingekua langu lazima ningejiita
Da Pretty,nahisi ndio jina pekee linalonipendeza!
Nalipenda jina langu jamani!
 
Yes! jina langu linamaanisha km nilivyo :smile-big::smile-big:
 
Mwenzenu jina langu ni kama linavyojieleza lenyewe, NAZALISHA...
 
Haya twambie kama wewe ndiyo ulikuwa mkali wa kuzishusha namba darasani kwako

THANX......!
NIMEPATA JINA HILI WAKATI TUNAISHI ILALA MTAA WA KILWA NA DODOMA......! MWANZONI MWA MIAKA YA 90...its all about football and not numbers, kulikuwa na mchezaji mmoja ambaye enzi hizo akiitwa KOMPYUTA(manara)....kisha kukawa na jujuman.....then ball juggler malota soma...hawa walipewa majina haya kutokana na uwezo wao wa kucheza na mpira......mimi wakaniita MATHEMATICIAN wakinifananisha na wachezaji hao.....hapa namkumbuka HASSAN MBUNDA"KAWESA"....ATHMAN DIGADIGA "DOUBLE D"...KISELELA....ABDALAH DIMA...N.K
 
Jina langu ni jina la mmoja wa mabinti wa Ayubu (kwenye biblia), maana yake ni: "The horn or child of beauty".
Ni jina la binti wa tatu wa Ayubu, na mimi kwetu ni binti wa tatu! Halfu naipenda na maana yake pia!
 
mbona sikuwahi kulisikia hili jina japo nimezaliwa na kukulia hapo unapopataja!
 
Mohammed, ni jina nililopewa na wazazi wangu.........napenda kuwa mimi the real me sipendi kuwa fake huyo ndio mimi.
 
Jina langu ni jina la mmoja wa mabinti wa Ayubu (kwenye biblia), maana yake ni: "The horn or child of beauty".
Ni jina la binti wa tatu wa Ayubu, na mimi kwetu ni binti wa tatu! Halfu naipenda na maana yake pia!

Aisee!
 
Hiki ni kijiji maarufu sana kule kwetu kinaitwa MARA SOMOCHE...nakitangaza hapa jamani mkitembelee mkifika Mugumu serengeti
 
sihitaji maneno mengi lenyewe linajieleza:rain:
 
Hii ni Amri!

Tatizo ni jinsi ya kulitamka....Hivi Ayubu ndio alilewa mabinti zake wakamlala?

hahahah..!! unaniangusha sasa babu! Vitu kama hivi unatakiwa uvijue ili uwafundishe wajukuu!

Ayubu hakulewa, na hakulala na mabinti zake! Aliyefanya hivyo ni Lutu.

Yaani unanifikiri ingekuwa Keren_Happuch amefanya hayo, ningechukua jina lake, aakha!!!! Tabia nyingine zinatembea na majina ati!
 
Reactions: BAK
Mine means ''Goodwill and lighthearted rapport between or among friends; comradeship''
 
Reactions: BAK

Kumbe unayajua mambo...nlifikiri unabahatisha.

Najua bana, Ayubu ni yule aliyevumilia mateso mengi kwa ajili ya kutetea imani yake ya kutokumkufuru Mungu.....Nakumbuka alipata majipu mwili mzima, damn na majipu yanavyouma OMG!

na hapa usiponigongea senksi ntakususia wiki nzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…