Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nimepotea wakati sredi hii inaendelea.
Zakumi - Ni mascot iliyotumika kwenye world cup 2010, nchini Africa kusini. Nilichagua mascot hii ni kwa sababu ni chui (Leopard). Mnyama mwenye kupenda uhuru na kuwa pekee yake (solitary animal). Hawezi kufugwa. Hatabiriki. Instinctive. Territorial. Eat fresh meat. Risk taker.
Hivyo nili-create a character yenye persona za chui kama ifuatavyo:-
---Hakuna urafiki wala kujuana hapa JF (solitary animal)
---Hafuati imani au kundi la watu, yuko tayari kutetea au kupinga ideas hata kama atabaki pekee yake (hawezi kufugwa)
---Hana personal issues ana connect dots tu (Instinctive)
---Ana maeneo na topiki zake (territorial)
---Anapenda idea mpya (Fresh meat Easter)
---Mgomvi wa mawazo na haogopi kujaribu (Risk taker)
THANX......!Haya twambie kama wewe ndiyo ulikuwa mkali wa kuzishusha namba darasani kwako
mbona sikuwahi kulisikia hili jina japo nimezaliwa na kukulia hapo unapopataja!THANX......!
NIMEPATA JINA HILI WAKATI TUNAISHI ILALA MTAA WA KILWA NA DODOMA......! MWANZONI MWA MIAKA YA 90...its all about football and not numbers, kulikuwa na mchezaji mmoja ambaye enzi hizo akiitwa KOMPYUTA(manara)....kisha kukawa na jujuman.....then ball juggler malota soma...hawa walipewa majina haya kutokana na uwezo wao wa kucheza na mpira......mimi wakaniita MATHEMATICIAN wakinifananisha na wachezaji hao.....hapa namkumbuka HASSAN MBUNDA"KAWESA"....ATHMAN DIGADIGA "DOUBLE D"...KISELELA....ABDALAH DIMA...N.K
unazalisha nini mama?Mwenzenu jina langu ni kama linavyojieleza lenyewe, NAZALISHA...
Jina langu ni jina la mmoja wa mabinti wa Ayubu (kwenye biblia), maana yake ni: "The horn or child of beauty".
Ni jina la binti wa tatu wa Ayubu, na mimi kwetu ni binti wa tatu! Halfu naipenda na maana yake pia!
Aisee!
Babu, ukipata binti mwingine unamwita Keren_Happuch, au unaonaje?
Hii ni Amri!
Tatizo ni jinsi ya kulitamka....Hivi Ayubu ndio alilewa mabinti zake wakamlala?
hahahah..!! unaniangusha sasa babu! Vitu kama hivi unatakiwa uvijue ili uwafundishe wajukuu!
Ayubu hakulewa, na hakulala na mabinti zake! Aliyefanya hivyo ni Lutu.
Yaani unanifikiri ingekuwa Keren_Happuch amefanya hayo, ningechukua jina lake, aakha!!!! Tabia nyingine zinatembea na majina ati!