Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

CPA- inamaana ni certified public accountant, mi ni muhasibu. Naipenda kazi yangu. Nimetumia jina hilo na cpa, kuonyesha uma kuwa tupo wahasibu tuopinga na hii hari ya baadhi ya wahasibu wenzetu wakishikiriana na mafisadi kuchota mahela ya walipa kodi walio maskin sana hapa nchini, kwa kujinufahisha wenyewe na familia zao. Nawakilisha
 
jeji ni jina la utani la mtoto wangu wa kwanza, mdogo wake wkt ana
mwaka 1 alikuwa anashindwa kulitamka vizuri jina lake akawa anamwita
jeji, basi ndio limezoeleka kuliko hata jina lake original.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MNAMBOWA,, ni jina la ukoo fulani katika kabila moja huko singida ambalo lina maanisha watoto wa mbwa, nimeamua kutumia jina hilo, kwanza mm ni mmoja ktk uko huo, na pili kwa kuwa hii jamii f. Ni haki yangu kutangaza utamaduni wa mwafrika kutumia majina yenye asili yetu
 
Mrembo, japo mtu mzima sasa lakini bado mrembo tosha wa asili. Kila kitu natural na mrembo haswa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha mysteryman is still undefined mystery....no body knows about him even myself
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Its my dream to become a Mkuu wa kaya.....But I don`t know how...because am not in any party....i don`t have any party membership!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Globu ni Dunia, ambayo ilielewa siku yalipofanyika MAPINDUZI ya ZANZIBAR. Hata join date yangu ni 12-01-2011.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mi napita tu jamani.
Naomba wale wenye majina halisi mni pm mpate zawadi kwa uaminifu wenu kwa taifa kwa jumla.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mrembo, japo mtu mzima sasa lakini bado mrembo tosha wa asili. Kila kitu natural na mrembo haswa.

Haya banaaa! Mrembo sana...kuna wengine kadri wanapoongeza umri ndio wanapendeza zaidi kama Tina Turner na Denzel Washington...naona nawe labda una genes kama zao 🙂🙂
 
Marejesho = Naamini kwamba MUNGU ataturudishia Watanzania hiyo miaka iliyoliwa na Nzige,parare,madumadu na tunutu( MAFISADI)
Bible YOEL 2:25
 
  • Thanks
Reactions: BAK
RAM, ni kifupi cha majina ya watoto wangu, I love them so much!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mwiyuzi-i belong to waiyuzi clan, kwa hiyo mimi ni mwiyuzi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimejaribu la kwangu likakataa ikaonyesha tayari kuna mtu
nikajaribu mengine matano yote yakakataa la mwisho nakumbuka
ni vuvuzela likakataa ndo nikajaribu GAZETI, Kimsingi sikulikusudia hili jina
hivyo halina maana yoyote zaidi ya utambulisho tu ingawa wengine
wananiita JARIDA.
Avatar yangu ndo ina maana maalum!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Malingumu, msemakweli, mwendapole na songambele ni baadhi tu ya swaga za majina ya kwetu hususani enzi hizo.

Kipindi tuko form 3 mie nilikuwa sipendi kabisa bookkeeping lakini nilikuwa noma katika kukotoa makabati a.k.a a/c sasa katikapast papers kulikuwa na swali la songambele lugaha na mwendapole kapori ndio masela wakiangalia ninapotoka na hilo jina ikabidi wanibatize. Nililikataa sana lakini jamaa wakanipa jina na kuhadi daima utasonga mbele.

Naamini katika kusongambele, na nyie msongembele na pamoja tunasongambele.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom