Wajamani, hebu tusema, hizi user names kila mtu anayo yake, nini haswa chanzo chake? sababu haswa nini?
Kwa mfano, "Mwanakijiji" kwa nini iwe hilo jina wakati unaishi mjini? (I guess)
Au, "Pdidy" kisa cha kutumia jina la mmarekani?
BTW, "Futota" ina maana "ame/nime nenepa" kwa Kijapani; na mimi si haba nyama za mwili sijanyimwa:lol: