Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah..!! unaniangusha sasa babu! Vitu kama hivi unatakiwa uvijue ili uwafundishe wajukuu!
Ayubu hakulewa, na hakulala na mabinti zake! Aliyefanya hivyo ni Lutu.
Yaani unanifikiri ingekuwa Keren_Happuch amefanya hayo, ningechukua jina lake, aakha!!!! Tabia nyingine zinatembea na majina ati!
Mimi ni mtu wa furaha muda wote, napenda kusifu, napenda kushangaa na kushangalia. Ninahakikisha kabla ya kulala ninaingia kitandani nikiwa na furaha, nikiamka ninatafuta sababu ya kuwa na furaha. Siku inapita, maisha yanakewnda. MAMMAMIA is an Italian expression!
Nikiona zuri, Mammamia!; baya, Mammamia!; mchangiaji ameweka vitu safi, Mammamia!; hata anayeboa, Mammamia!; msichana aliyeumbika, oooooh, Mammamia!
Otherwise ningeweka OMG (Oh My God), lakini hii nimeipenda zaidi.
Unaweza kumpata kama kweli ulimpenda usikate tamaa, kumbuka milima haikutani lakini binadamu twakutana.
Huwezi amini mie mtu ambaye tulipotezana miaka 13 iliyopita , tumekutana kumbe na yeye hivyo hivyo kama wewe ulivyosema alikuwa ananipenda lakini hakunitamkia chochote. Kumbe alikuwa ananifatilia information zangu kinyemela.