Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

nilivyokuwa mdogo nilikuwa nashindwa kutamka francis nikawa nasema franchichi so chichi likawa jina langu la nyumbani....dr ni proffesion yangu
 
mimi username yangu ni muunganiko wa majina yangu mawili.
 
LoL! Hahahahah 🙂

 
Gobore

It reflects a great deal of what I do for a living
 
just a nickname from one of my sisters, we use to call each other in that name.
 
Reactions: BAK
the boss...............ni kwa sabbu kweli i amm the bossi.

halafu unajua The secretary niliamua kuliweka kutokana na jina lako baada ya kusahau password kwa ID ya mwanzo, kila nilipoweja jina naambiwa tayari linatumiwa na mwingine ndipo nikakutana na post yako nikatoa jina kutoka kwenye ID yako .
 
babu yangu anaitwa Lunogelo na mimi jina langu halisi linaanza na herufi G basi kwasababu sikurithi jina la babu na hadi sasa hakuna aliyerithi hilo jina ndipo nikaamua kulichukua kwa kudondosha "gelo" kwenye "lunogelo" na kubaki na LUNO nikaongeza na herufi ya mwanzo ya kwenye jina langu ambayo ni G

ndipo nikajiita LUNO G
 
Reactions: BAK
Big results now nimejiunga kipindi hiki yaani mwaka ambao hii kitu imeletwa,siamini kama big results now itakuwa ni dawa ya kumaliza matatizo,nataka miaka ijayo niwe kielelezo cha kushindwa kwa serikal kwenye mambo ya msingi
 
Reactions: BAK

Suala la kua thred ya kudumu ni wazo zuri sn na mm napendekeza maadmista wa hii website walifikirie hlo...
 
Reactions: BAK
Chanzo kikubwa cha mm kutumia jina hli ni kwamba nlikua na t-shirt yang moja hv nyeuc nyeuc kifuani ilikua imeandkwa maneno GENIUS BY BIRTH SLACKER BY CHOICE ile t-shirt nlikua naipenda sn na hata marafk zang wakat npo chuon walikua wanaipenda kuona nikiivaa na iliniongezea umaaruf chuon bac na nlipojiunga humu JF nkaamua kutumia ID hii na kwa vle pia mm ni mtu wa kujikubal vle nlivyo, na ni mtu wa kujiamini na ni mtu ambaye MUNGU amenijaalia akili njema bac nmerandana nalo!!
 
Reactions: BAK

Weee!! Unasema kweli??
 
yaani kama ntapata suluhu leo ntafurahi sana... Nilikuwa siijui jf.. Nikawa introduced na one of my friend.. A kaka from another mother... Nkawa na jina zuri tu lenye madhari ya kuvutia... Na lilikuwa laini sana... Ikaenda ikarudi.. My email ikawa hacked na mimi nikaisusaa...na nikaona isiwe tabu.. Nkabadili to another... Na siku hiyo najiunga humu i was surely shaked.. Nikasema isiwe tabu... NTATHUBUTU!! Na i know daring is what make most pipo to back up... Ila kwa kuwa sasa nishaweza na ninasonga mbele... I want back my sweet good name... Maana ilipambwa na uumbaji na si hili la kutishaaa... Help please on how to change name..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…