Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acinonyx jubatus is a scientific name of a cheetah, I just like the animal
Toka nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kula ubwabwa, siku nyumbani wakipika ugali, nilikuwa nanuna na huwa sili, na nikisikia mahala kuna shuguli na kuna ubwabwa mimi nilikuwa wa kwanza kufika mpaka marafiki zangu wakaanza kuniita bwabwa, kwa kumbukumbu ya hili jina ndio maana naliwakilisha
BAK ww ni noma...umechimbua uzi wa miaka 3 ilopita !!LoL! Hahahahah 🙂
the boss...............ni kwa sabbu kweli i amm the bossi.
Naam thread nzuri sana inaweza kuwekwa kama thread ya kudumu ambayo kila member mpya anapojitambulisha pia si vibaya kutoa maana ya jina analotumia pia! inaburudisha! kuhusu jina ninalotumia limetokana na mtazamo wangu juu ya hoja mbalimbali, hoja inapotolewa kuna nafasi tatu kuipinga(kwa hoja), kuikubali (bila kufuata mkumbo au kuangalia nani mtoa hoja) au kutokua na lakusema(no comment) juu ya hoja hiyo! hivyo kuzaliwa jina Mawazomatatu. Kila mara kuna kua na mawazo ya aina tatu juu ya hoja yoyote.
Kwa kweli mimi "nili-google" tu kwenye kichwa changu likatokea.
Miaka ya 50 babu yangu aligundua gundi akaiita nyamgluu. Wakoloni wakamchakachulia idea yake. Kwaio namwonyesha babu kuwa mimi bado namkubali na innovation yake. Kaka wa babu ndie aliyegundua Tanzanite nae wakamchakachua. Alilipwa sh 20! Dah if only....