Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
habari zenu wana JF, nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya majina ya hapa JF, kuna baadhi ni mepesi kusomeka na kuna baadhi ya majina ni shida hata kuyasoma. Wengi wetu majina tunayotumia ni feki. Je ni sababu gani ilikufanya kuchagua hilo jina unalotumia hapa JF? Mfano mimi, Mussolin, nimetumia jina hili kwa kuwa nilipenda sana falsafa za kidikteta za Benito Mussolini wa Italy, karibuni...
grace aliyejaaliwa kwani nna BAMBATAA HATARI
grace aliyejaaliwa kwani nna BAMBATAA HATARI
Mkuu hii ID yangu nadhan ni miongoni mwa ngumu kusomeka. Hebu jaribu kuisoma kwa sauti, angalia usije ukaacha ulimi shemeji akakukimbia.....hahaaa
grace aliyejaaliwa kwani nna BAMBATAA HATARI
mi napenda watu waishi watakavyo
siyo kma unavyofikiri ni zaidi ya unayoyafikiriaKumbe eeeh
Mbona unaonekana tu mkuuMimi hamnioni kirahisi lakini muda wote nipo JF...!