Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
mi napenda watu waishi watakavyo
ningependa nipate maana ya hawa watu..
Active, Cookie, Fang, Pruner, PainKiller, Rider, INNOVATOR, Buchanan..
halafu pia naomba wanijibu hili swali langu..!
''Je, hapa Jamiiforums kuna moderators wa kike?- kama wapo, ni akina nani?''
Leo ni mapumziko ya muungano, please msikosee mkabonyeza kitufe cha Ban kwa excel!
puff!
Leo mapumziko ya muungano?
maana yake .ni ahsante ....kwa lugha ya uchina
hahahaaa!! poa basi niko chini ya nanii yako!!We si useme tu kama umechapia.
Pm umenitumia mie haswaa? Labda umekosea direction
Roho yake ilale mahala pema peponiMimi jina langu nimelimaanisha..am Gender Sensitive na kweli niko hivyo...na hata nikisajisajili kwa jiana lingine nitakuwa namaanisha. My name suggest who iam ..hata kama ningepata fursa ya kujichagulia jina kwenye jina langu halisi basi ningechagua jina lenye maana...pamoja na hayo I like my real name so much ingawaje halina maana yeyote ya msingi.
Old Thread!
Shansarie ....Jina la mtu muhmu sana ktk maisha yangu amenifanya niwe hivi nilivyo bila yeye nisingekuwa hivi nilivyo
Mimi napenda kuchungulia nyuma ya pazia ili kutafuta ukweli wa sarakasi tunayochezewa. Ndiyo maana yake Jasusi.