Hivi ni kweli asilimia kubwa ya usernames ze2 zina-reflect tabia, hobbies, mionekano na hata profesion ze2?!
Mfano 'Injinia', 'FOE', 'Kenge(Eng.)' kweli nyie ni ma-engineers?!
Mkuu mwenyewe 'The Boss' nakua tempted kuku2mia Job application yangu coz unaonekana ni boss flan sehem flan.
Pia 'Mpenzi wa Islam' na 'Ulamaa' napata hisia nyie ni ma-ustaadhi safi.
Dada 'Pretty' waonekana ni mrembo flan hivi matata halikadhalika dada ye2 'Firstlady1' napata hisia uko kama angle flani na shemeji ye2 ni mkubwa flan somewhere ndo maana u r his 1st lady.
Mkuu 'Arsene Wenger' wewe waonekana mwanamichezo haswa. Huwa 2nakutana kule kwa spesho thread ya Arsenal. Yaonekana Arsnal ikifungwa siku yako imeharibika. 🙂
'Mahesabu' yaonekana wewe kwa ma-calculus, statistics.... uko balaa si mchezo. Au?!
Hivi 'Bonge' kweli lkn wewe ni bonge yaan mwili mkubwa!
Mzee 'Advocate jasha' yaonekana we ni mtaalam wa mambo ya sheria!
Mkuu 'Dar-es-salaam' wewe waonekana ni mtoto wa mujini, umekaa sana Dar!
'care4all' utakua m2 flan si mbaguzi wa dini, kabila wala rangi. Seems like unajal sana wengine!
Kuna usernames nyingine nacheka sana nikiziona, na ku-comment publically nì noma. mfano 'Semenya' na mkuu 'Chapa kiuno' na nyingine nyiingi.