Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi jina langu katusyo ni shule ya msingi niliyosoma japokuwa sasa hivi nipo tunduma
 
Mkuu hii ID yangu nadhan ni miongoni mwa ngumu kusomeka. Hebu jaribu kuisoma kwa sauti, angalia usije ukaacha ulimi shemeji akakukimbia.....hahaaa

Shieshie...,asante kwa kichina...
 
Hili ni jina la babu mzaa mamangu japo nilipofika sec nilijibatiza kama nick name yangu.
Ulale mahali pema NGANU asilia
 
Last edited by a moderator:
ningependa nipate maana ya hawa watu..
Active[/Bi], Cookie, Fang, Pruner, PainKiller, Rider, INNOVATOR, Buchanan..

halafu pia naomba wanijibu hili swali langu..!

''Je, hapa Jamiiforums kuna moderators wa kike?- kama wapo, ni akina nani?''

Leo ni mapumziko ya karume, please msikosee mkabonyeza kitufe cha Ban kwa excel!

puff!


Umefanya nimkumbuke Roulette dah!
Wen zos dei s jf was jf bana!
Tulikuwa tunashinda humu af wala hatugundui kuwa tumekuwepo siku nzima
AshaDii wap na wewe mamiie?
 
Last edited by a moderator:
Umefanya nimkumbuke Roulette dah!
Wen zos dei s jf was jf bana!
Tulikuwa tunashinda humu af wala hatugundui kuwa tumekuwepo siku nzima
AshaDii wap na wewe mamiie?
Roulette nakumbuka alinifundisha french enzi hizo nikiwa sifuri level.. hivi kumbe ni moderator madam??

mbona hii habari haiwi verified?
 
Last edited by a moderator:
Matika wa Chonya, miss Chilonwa....the one and only! Kwa mliokula chumvi kidogo nadhani mnakumbuka kitabu cha "Shida" written by Ndyanao Balisidya. I just loved her character!
 
Charty,jina la mtoto wa kaka angu wa kwanza, she z my queen,my life,my swt,my evrythn,i love her so much!
 
Mlomgeni.kila m/mke nnaezaa nae watu wananshangaa.coz nimezaa na w/ke wanne tofauti.halafu watoto wote watano ni me.
 
"Sir Mimi",,,,7bu kwanza najikubali mimi binafsi,pili hili jina lilitokana na jamaa'angu ambaye kila alipokuwa akinpigia/mpigia simu akipokea kauli ya kwanza ilikua "Yes Sir",siku nliyokua naji-register JF nikiwa ktk kutaka kuandika jina nlilotaka kujiita mara mshkaji akanipigia nilipopokea tu akaanza na kauli yake "Yes Sirr",tulipomaliza maongezi nikaunga unga herufi mwisho ndo hiyoo "Sir Mimi".
 
spyware you can google it i love the way those application function in your pc or phone
 
Hivi ni kweli asilimia kubwa ya usernames ze2 zina-reflect tabia, hobbies, mionekano na hata profesion ze2?!
Mfano 'Injinia', 'FOE', 'Kenge(Eng.)' kweli nyie ni ma-engineers?!
Mkuu mwenyewe 'The Boss' nakua tempted kuku2mia Job application yangu coz unaonekana ni boss flan sehem flan.
Pia 'Mpenzi wa Islam' na 'Ulamaa' napata hisia nyie ni ma-ustaadhi safi.
Dada 'Pretty' waonekana ni mrembo flan hivi matata halikadhalika dada ye2 'Firstlady1' napata hisia uko kama angle flani na shemeji ye2 ni mkubwa flan somewhere ndo maana u r his 1st lady.
Mkuu 'Arsene Wenger' wewe waonekana mwanamichezo haswa. Huwa 2nakutana kule kwa spesho thread ya Arsenal. Yaonekana Arsnal ikifungwa siku yako imeharibika. 🙂
'Mahesabu' yaonekana wewe kwa ma-calculus, statistics.... uko balaa si mchezo. Au?!
Hivi 'Bonge' kweli lkn wewe ni bonge yaan mwili mkubwa!
Mzee 'Advocate jasha' yaonekana we ni mtaalam wa mambo ya sheria!
Mkuu 'Dar-es-salaam' wewe waonekana ni mtoto wa mujini, umekaa sana Dar!
'care4all' utakua m2 flan si mbaguzi wa dini, kabila wala rangi. Seems like unajal sana wengine!
Kuna usernames nyingine nacheka sana nikiziona, na ku-comment publically nì noma. mfano 'Semenya' na mkuu 'Chapa kiuno' na nyingine nyiingi.

Maana ya Id yako ndo tunataka sio za Ndugu zako.
 
Last edited by a moderator:
Mko poa wana Jamii forums.

Nimeshaona majina ya kushangaza kweli hapa Jamii forums.Mengine yanatisha(kama la mdau fulani anajiita 'uso wa nyoka').Majina mengine ya kike yananipa hard-on (kama miss neddy).
made me wonder the meaning of some of these ID.

Karibuni tujadiliane nini maana ya ID unayotumia na nini kilikufanya ukachagua hilo jina.

Tunawesmake-inamaanisha tunaweza kutekeleza(we can make it).
 
Back
Top Bottom