Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Ko hao urban wangekuambia we delicious ungekubali tuuu kisa urban wamesema????
Ukiingia urban dictionary kuna maana ya jina zaidi ya 50 unachopaswa ni kuangalia maana ipi inaendana na wewe siyo kila definition itakufaa
 
Wakuu
Hapa JF tunatumia id zenye majina yasio halisi, itapendeza tukijua ni nini maana ya Id yako
Pia kwanini unaitumia

Naanza na mimi Mr swax
Hii inamaana ya bwana swax, swax ni kifupisho chenye swaga zinazotumiwa na vijana kuwakilisha mji wa sumbawanga!

Naitumia kuwakilisha my home town, swanga
Wewe huko vp
 
Yangu Ninawakilisha ukoo wangu though hatulitumii tena Hilo Jina kwenye utambulisho wetu rasmi.


Wa mwisho kulitumia alikuwa marehemu babu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…