Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mi ya kwangu inasimama special for watoto wa uswazi,wale ukinianza nakumaliza halafu Kanitangazeni na wengine wanijue vizuri..
 
why asking ?
 
Hulielewi jina lako?
kwani maana ya kuhide id ni nini tunaelewa tumeficha id zetu na haya ma id feki mengine ni matusi achana na mambo hayo ukishafahamu inakuwaje mkuu kila mtu ameweka ka sababu zake unless uwe umtafutr mtu uliyevutiwa na id yake pm akuelewe?............................

vinginevyo wacha ufukunyuku
 
fanya kazi wacha kupoteza tyme instead tumia bando yako kwa kujifunza mambo mbalimbali yenye tija maishani mwakokuliko kutaka kujua id za wana jf zina kazi gani ukishajua inakusaidia nini................
 
jina langu ni tusi kubwa sana huko Panama
 
fanya kazi wacha kupoteza tyme instead tumia bando yako kwa kujifunza mambo mbalimbali yenye tija maishani mwakokuliko kutaka kujua id za wana jf zina kazi gani ukishajua inakusaidia nini................
Jf ina majukwaa mengi
Huenda hata maana ya chit chat huijui
Hujiulizi kwa nini hii topic sjaiweka jukwaa la eimu, uchumi au siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…