Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

[emoji4][emoji4][emoji38][emoji38]
 
Kaka yangu alisoma huko pia!
 
Reactions: BAK
Log z,,
Ni jina ambalo nimelipata enzi zile za o_level ,nakumbuka sana enzi hizo nilikuwa nafaulu sana somo la hisabati(mathematics),especially katika zile hesabu za LOGARITHMS ,nilikuwa mtundu sana katika ku-solve maswali yake.
Sasa katika sheria za logarithms (laws of logarithms)

1) LogbMN = LogbM + LogbN2) LogbM/N = LogbM - LogbN) LogbM = LogbN if and only if M =N (etc)

ndo usipime nilizimeza zoote,,
Pia nilijizolea umaarufu sana katika kuyapiga maswali ya LOG,
 
Reactions: BAK
Katika historia nikiwa kidato cha tano nilivutiwa sana na dikteta wa zamani wa Urusi Joseph Stalin hakika nilipenda ubabe wake na ninaomba hata siku moja uncle Magu afikie japo 25% ya huyu jamaa

Dictatorship is in my blood!!
 
Lina maana ya ubora,isiyochakatwa,isiyochakachuliwa,Asili
Pia ni mafuta pendwa ambayo nikiyatumia sipati alerg[emoji39]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…